Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,271
- 1,048
HAHAHAHAHAHAHAHAHA!safari za moto pale Changarawe, Pangoti, Golettho et al. hapo je?
basi basi basi
USIMALIZIE KUSEMA MKUU!
HAHAHAHAHAHAHAHAHA!safari za moto pale Changarawe, Pangoti, Golettho et al. hapo je?
mimi unanikumbuka?Duh! mkuu kufashi ya wapi bana? nimekumbuka mbali sana. duh! masista wa kamadori walivokuwa wanacheka cheka tu wakituona.
HAHAHAHAHAHAHAHAHA!
basi basi basi
USIMALIZIE KUSEMA MKUU!
hehehe!huyu ni schoolmate.mseminari huyu!tumeiba sana sakramenti kanisani enzi zetusasa mpwa umejilidhisha kuwa kuwa si semenya?mnatupa maswali.
nimekupa senksi kwa heshima ya hilo neno chui!Not real, ukinikumbusha itakuwa sawia......chui kazaa zipo.
najaribu kukumbuka mzee, tatizo langu nilikuwa nakuywa ile alter wine usiku tukienda kusali, so asubuhi kanisani nakuwa nasinzia tu!! hahahaa!nimekupa senksi kwa heshima ya hilo neno chui!
unamkumbuka MPIGA KINANDA MACHACHARI SANA,aliyekuwa form four we ukiwa five?jina lake limeanzia na G
najaribu kukumbuka mzee, tatizo langu nilikuwa nakuywa ile alter wine usiku tukienda kusali, so asubuhi kanisani nakuwa nasinzia tu!! hahahaa!
senksi man, itakuwa sawia.hahahaha!
hahahaha!
kama ulisoma pale nakupa clue!hakuna mtu ambae hakunifahamu pale!hasa inapofika jumapili kanisani,siku za consolata day,ukija basketball na maeneo husika.
ukinikumbuka nakuruhusu ulitaje jina langu hadharani!RUKSA.nitakupiemu nikupe namba zangu later.
ngoja niwahi taska yenu-bar!
tatizo ni kwamba, with time inakuwa kama vile mm ni robot mwenzangu ndo binadamu...lazima nitake mm, lazima nitayarishe mm. si unajua hata sisi tunapenda kutakwa pia? at least kuona ze patna anahamu na mm?!!Asa mbona mnapotosho mwwelekeo wa thread?
Mwanzenu kakumbwa na maswahiba nyie mnaleta utani?
Pole mwaya ila chunguza kama nawe umepunguza ule mshawasha kiasi kwamba kupewa chipo unakuchukulia kama sehemu ya wajibu wake na si mapenzi! Utakutwa wengine zamani enzi zile hawajaoana mdemu akienda kumtembelea mwenzie akifika tu mlangoni anachua leo lazima tupeane raha yaani mapenzi yanaanza mapemaaa! Sasa wewe unayerudi usiku wa manane halafu hata hujatoa signal kuwa utayarishiwe ukija unaparamia tu lazima nichukie kwa kuharibiwa usingizi wangu!
Lakini ukitoa ishara mapema basi na mie huku nakusubiria huku nafikiria leo nikurushe kwa staili gani yaani ni full mzuka tu!!
Alikuwa na mpwa Porjie wanajadili kuhusu kula mboga moja fo ze resti of yua laifu.
tatizo ni kwamba, with time inakuwa kama vile mm ni robot mwenzangu ndo binadamu...lazima nitake mm, lazima nitayarishe mm. si unajua hata sisi tunapenda kutakwa pia? at least kuona ze patna anahamu na mm?!!
Masai Pub to precise na ninakiu kali sana leo, jana nililianzisha nikarudi home mapema sasa leo nimekwisha acha notice nyumbani nitarudi mida mibovu.
Asa mbona mnapotosho mwwelekeo wa thread?
Mwanzenu kakumbwa na maswahiba nyie mnaleta utani?
Pole mwaya ila chunguza kama nawe umepunguza ule mshawasha kiasi kwamba kupewa chipo unakuchukulia kama sehemu ya wajibu wake na si mapenzi! Utakutwa wengine zamani enzi zile hawajaoana mdemu akienda kumtembelea mwenzie akifika tu mlangoni anachua leo lazima tupeane raha yaani mapenzi yanaanza mapemaaa! Sasa wewe unayerudi usiku wa manane halafu hata hujatoa signal kuwa utayarishiwe ukija unaparamia tu lazima nichukie kwa kuharibiwa usingizi wangu!
Lakini ukitoa ishara mapema basi na mie huku nakusubiria huku nafikiria leo nikurushe kwa staili gani yaani ni full mzuka tu!!
nimekupa senksi kwa heshima ya hilo neno chui!
unamkumbuka MPIGA KINANDA MACHACHARI SANA,aliyekuwa form four we ukiwa five?jina lake limeanzia na G