kaka,
fafanua basi kiduchu!mimi sijaelewa swali la msingi
bwashee vipi?Like wise!
bwashee vipi?
imekuwaje leo hujaonekana ati!
Alikuwa na mpwa Porjie wanajadili kuhusu kula mboga moja fo ze resti of yua laifu.
hehehehe!Infakti Jojie leo kanitolea mpya. Hili tutalidiskasi pale CHAWOTE.
jojipoji aliua jana mkuu mpwa!Alikuwa na mpwa Porjie wanajadili kuhusu kula mboga moja fo ze resti of yua laifu.
jojipoji aliua jana mkuu mpwa!
ngoja nikutafutie linki,.............Ehee! Lete habari.
ngoja nikutafutie linki,.............
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/42867-my-confession.html
gonga hapo mpwa uone jojipoji anavyolia lia.utadhani wale waliozoea kulia lia kwa invizibo
Ni hivi, my wife wako kabla ya kuoana mlikuwa mnamegana swafi tu..si unajua tena kila mkiwa/ukiwa na hamu ya kumega. sasa baada ya kuhalalishwa ratiba ikaja.....ooh mimi siwezi kila wakati, mara ikishafika usiku sana mi siwezi, nk. then with time una-learn kwamba yeye anakuwa happy tu kama mkimegana once a week na usipoitaka kivile, lakini ukiitaka anatoa nje.....then ww hiyo habari ya wiki kwa wiki utaiweza????kaka,
fafanua basi kiduchu!mimi sijaelewa swali la msingi
swala lake lilikuwa gumu.sasa we wahi kaunta.mimi naenda CHAWOTE sasa!Hahaha! hiyo nilishaipitia sijamgongea senks wala koments sikutoa. Lol! Nimemhurumia sana.
ngoja nikutafutie linki,.............
swala lake lilikuwa gumu.sasa we wahi kaunta.mimi naenda CHAWOTE sasa!
burn anaenda MWANANYAMALA
Ni hivi, my wife wako kabla ya kuoana mlikuwa mnamegana swafi tu..si unajua tena kila mkiwa/ukiwa na hamu ya kumega. sasa baada ya kuhalalishwa ratiba ikaja.....ooh mimi siwezi kila wakati, mara ikishafika usiku sana mi siwezi, nk. then with time una-learn kwamba yeye anakuwa happy tu kama mkimegana once a week na usipoitaka kivile, lakini ukiitaka anatoa nje.....then ww hiyo habari ya wiki kwa wiki utaiweza????
Xpin especially utaweza? au ndo itakuwa kama title ya thread with time?
hili atakuja kulijibu yeye!
mimi ningekuwa x-pin ''ningenunua simu na laini nyingine-unajua ukiwa na simu mbili hapa mjini ndo fasheni?!'
burn anaenda MWANANYAMALA