They call it Africa...

utafiti

JF-Expert Member
Jul 18, 2013
12,783
7,657
...we call it home
 

Attachments

  • 1400700917500.jpg
    1400700917500.jpg
    33.3 KB · Views: 220
Ooyooo ndo utamaduni wa mwaafirika huu na akiwa baba hatakuwa na uwezo wa kuuandika hata jina lake na matokeo yake kutokujua mahisabu yake na sharia za kudai mafao yake ya kazi iwe makampuni ya ubinaf au kiserikali na hawa watu wa aina hii ni wapo tele na wanafanyewa dhuluma kubwa sana na maofisa na matajiri huwa lao mmoja ni kumkandamiza mnyonge basi na hii topic mukisha soma tu basi muitafakuru na kutafakari ni ndogo hii stori
 
Huyu dogo ukimpeleka Olympic kushindana jinsi ya kulenga shabaha lazima atarudi na GOLD!!!
 
Back
Top Bottom