Wanawake lazima wabadilike,ukiamua kuwa na mtoto hakikisha unamnyonyesha mtoto mpaka umri husika unapofika wa kumuachisha,jaman watoto wanateseka hawawezi kuongea lakini wanateseka sana!
Preta mtoto akianzishiwa chakula mapema anapata madhara makubwa especially intestinal bleeding..magonjwa mengi yawapatao watoto ni kutokana na mtoto kukosa kinga kutoka kwa mama kupitia maziwa ya mama..