These is too much sasa.

Sasa hapa tukushauri nini sasa?
 
Jamaa ana hasira huyo utafikiri mwanamke ndio kabakia huyo dunia nzima kisa mtoto wa watu anatunzwa vema na wazazi wake.dah
 
Mkuu hapo umepigwa ma siled hawajisemi aseee...
Ila kumlinda mtoto wa kike ni kama kulinda shamba la miwa lililo karibu na shule
Shemeji yako alinambiaga me nimepigwa miti kama mara mbili hvi. Siku nakutana nae sikuamini. Kitu sealed ngumu balaa.
Nakuunga mkono huwa hawajitaji.
 
Zaa WAKWAKO uumpe counseling alafu uamuachie akapuyange huko....
 
Ushauri mzuri sana kwa wazazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…