Wazeeh habari za asubuhi...!
Its another day we thanks god for a beutiful day. Niende direct kwenye mada.
Nikama one week sas nachart na mtoto wa kirwanda aliye hitimu kidato cha nne na ukweli namba yake ni kama zali tuu alikosea namba mwisho wa siku tukajikuta tumekuwa tu like friends ingawa nimesikia warwanda jinsia hii ya ke huwa ni very cute na ni wanawake wenye maumbile flani yale ya namba nane ingawa cjawahi kuwa nao kweny mahusiano. Ukija kitabia true these gal she is so politely na heshima inaonekana wazi anayo.
Kwa story nilizo piga na huyu manzi kwa sasa yupo mkoa tofauti ila ni mwenyeji wa mwanza ambako na mm ndipo nilipo right now. The gal ni mtu kasoma shule ya single gals na hajui issue yoyote kuhusu mapenzi in short bado ni siled (hajaguswa bado) mkoa alipo right now ni huko geita na lengo la yeye kupelekwa huko ni kwamba mzeeh wake anamuepusha na vijana ambao wanataka kumrubuni kimapenzi na hata huko alipo ni girl wa ndani ya geti kila mda na akisema anatoka maybe mpaka jumapili kwenda churcha au akiwa anaenda super-markert tena under high protection of gurds.
Kifupi kila anapo kwenda analindwa vbaya sana na hana uhuru wala marafiki na ni msichana ambaye kila mda yupo ndani ya getii tuu.
Sas kwa upande wangu mm naona hii ni kama mateso sasa sikatai msicha au mtoto wa kike lazima alindwe but sio kwa kiwango hichoo couz huko sas sio kumlinda tena mwanao bali ni kumtesa tuu kifikraa couz anakosa kujichanganya na watu tofauti na kujifunza vitu vipya na mengine mengi.
Jaman wazazi ukisikia kumlinda mtoto wako wa kike sio kiivyoo, just seat down na mwanao mpe elimu na canceling za kutosha kulingana na umri wake kwamba lipi ni baya asifanye au ajiepushe na lipi jema ili azingatie. Mnapokosea wazazi wetu wengi wa kiafrika wanaogopa kuwapa watoto wao canceling kulingana na umri wao hasa kwa watoto wa kike mkiofia kwamba mwanao au binti yako atakuona vp but if you real love your daughter kaa nao chini na wape elimu juu ya ukuaji wao couz kwa kuwalinda huko haitosaidia kitu maana still anaweza kupanga mikakati namna ya kujiondoa katika ulinzi wako na kumbuka kwamba wewe ni mzazi au mlezi but kamwe huwezi kuwa na mwanao kila sehemu so lazima kuna siku atapata upenyo na hatakua huru na mambo yake na hapo ndo maana wengi wakifika vyuoni they totaly change couz huku hawana uhangalizi tena wa wazazi wala walezi wao.
Kama ww ni mzazi au mlezi naombeni saan mjaribu kuwapa watoto wenu elimu ya wao kujitambua na kujielewa ila sio kusema unawaekea ulinzii couz leo upo kesho yako huijui so wenda usiwepo hebu jiulize yule mtoto uleye muacha na uliye kuwa unamlinda atakua katika maisha gani maana tayarii wewe uliye kuwa mlinzi wake haupo tena duniani so hapo mlango utakua wazi na atafanya yote atakayo. If you guys real love your own children please weken hili swala vichwani mwenu mtoto wa kike kwa maisha ya saiv ni ngumu saan kumlinda couz technolojia imekua saan na trust me kuna day hutoamini kwamba pamoja na ulinzi unaomwekea mwanao but kuna siku atapatikana na kibaya zaidi wakisha jua utamu wa fimbo ya mwanaume huwa awalindiki tena couz tayari ashanogewa na mchezoo mpaka aje kuelewa why alikua analindwa most of them huwa inakua too late couz washa haribu maisha yao kwa aidha kuugua magonjwa yasiyo na tiba au kupewa mimba na hajui muhusika nani pamoja na kutelekezwaa.
Wazazi narudia tna walindeni watoto wenu wa kike kwa kuwapa elimu ya wao kujitambua kama mabinti na kujielewa maana elimu hzoo cha ajabu hata mashuleni walimu hawawezi zitoa couz hazipo kwenye syllabus na hata kam zingekuwepo am sure hawawezi funguka yote kwa hao wasichana but kwa mzazi am sure they can. Na hili ni jukumu la wazazi wote wawili nikiwa na maana ya Baba na Mama.
Wish you a good day .