THESA: Wizi mtupu

Nduka

JF-Expert Member
Dec 3, 2008
8,552
2,360
Hawa jamaa wanaendesha wizi wa waziwazi tena kibaya zaidi wana exploit vijana wanaotafuta kazi.Yaani baada ya kuapply kazi kwao walizotangaza kwenye magazeti wanakuita kwenye interview lakini wanakutaka ulipie 20,000/-, sasa hawa si wana take advantage ya watu wanaotafuta ajira?
Mamlaka zinazohusika ziko wapi?au wanasubiri hali iwe tete kama ya DECI?
 
Du Tolu unasemaje kuhusu barua hii iliyosainiwa na Isack Michael tarehe 12 July ambayo nimei attach hapo juu?

Burn,

Hiyo barua ni scam na uwizi wa mchana jua kali.

Quote from the letter "All applications or correspondences sent to THESA head Office shall automatically be disqualified therefore ensure to contact THESA Branch Office at Mwembechai Plaza".

we wee.. mtu mzima utalia n kuyoyoma kama wa deci.

tolu
 
Poa mrefu, lakini si tu barua hata hao thesa wenyewe ni wasanii sana tu.
 
Mkuu,mi nashawishika kukubaliana na wewe kuwa hawa jamaa ni wasanii. Hiyo branch ya mwembechai ipo kweli, na kwa ufahamu wangu kidogo, nadhani ni authentic.

kwa hiyo bado swali ni kwamba kwa nini wanachaji 20,000 kwa ajili ya interview, si itafika wakwambia changia mshahara (if any) kwa ajili ya gharama hizo hizo?

wana uwezo kweli wa kuajiri? Mkuu Burn hebu wavutie waya hapo wakwambia nini maana yake hasa?
 
Hawa jamaa wanaendesha wizi wa waziwazi tena kibaya zaidi wana exploit vijana wanaotafuta kazi.Yaani baada ya kuapply kazi kwao walizotangaza kwenye magazeti wanakuita kwenye interview lakini wanakutaka ulipie 20,000/-, sasa hawa si wana take advantage ya watu wanaotafuta ajira?
Mamlaka zinazohusika ziko wapi?au wanasubiri hali iwe tete kama ya DECI?

Hawa watu walinitapeli aisee wameishia wapi?? Mwembechai hawapo tena!! Njaa hizi zitaua watu
 
Back
Top Bottom