Ninakumbuka wakati Kate Middleton anategemea mtoto wake wa kwanza walimwambia kuwa hata akiwa wa kike au wa kiume na huyo ndie mfalme au malkia anaekuja. Bahati nzuri alipata wakiume.
Kungekua na qualifications za umbea ningekuwa graduate wa 2:1 kama sio 1st class. The enquirer gossip magazine liliandika kuwa nyumba nyeupe inawaka moto bila mtoto wa kiume. Hayo yalikua mara baada ya kuwa raisi.Unamuona na Obama alivyotulia na binti zake, angekuwa mwengine si mtu angebebeshwa mimba mpaka atokee wa kiume!
Au ndo mtu anapata sababu ya kuchepuka kwa kisa cha kutafuta mtoto wa kiume, halafu kuna wanawake wengine wanaona sawa kumfurahisha mwanaume.
Wanawake wa Kiafrika we go through a lot kwa kweli.
Kungekua na qualifications za umbea ningekuwa graduate wa 2:1 kama sio 1st class. The enquirer gossip magazine liliandika kuwa nyumba nyeupe inawaka moto bila mtoto wa kiume. Hayo yalikua mara baada ya kuwa raisi.
Ninachoamini ni kuwa uwe na mtoto wa kike au wa kiume wape tu fursa sawa. Kwa mzazi ni faraja kuona mtoto wake amefanikiwa katika maisha awe wa kike au wa kiume.Hahaaa!, eti first class!, 😀
Enquirer wambea namba moja. Sijui ni hao hata walisema Michelle was pregnant soon after they moved to the white house.
Sidhani lakini kama they have that mentality ya kuona hawako sawa bila mtoto wa kiume. Huwezi jua lakini, it's not fair to speak for them.
Uzuri ni kwamba siku hizi ni ku time tu, na unapata mtoto wa chaguo lako.
Ninachoamini ni kuwa uwe na mtoto wa kike au wa kiume wape tu fursa sawa. Kwa mzazi ni faraja kuona mtoto wake amefanikiwa katika maisha awe wa kike au wa kiume.
Ninakumbuka kuna story ya mama mmoja banker nilisoma zamani kidogo, yuko kwenye 6 figure pay, designer wanamletea nguo kwakua akivaa kwenye mikutano anaziexpose kwahiyo ni kama promotion. Sasa Gucci, LV, yves saint laurent wanaleta nguo bure. Kuna watu wanaishi.Thereza amenifurahisha na choice ya wardrobe yake, halafu anasoma Vogue.
She's a real fashionista.
Ninakumbuka kuna story ya mama mmoja banker nilisoma zamani kidogo, yuko kwenye 6 figure pay, designer wanamletea nguo kwakua akivaa kwenye mikutano anaziexpose kwahiyo ni kama promotion. Sasa Gucci, LV, yves saint laurent wanaleta nguo bure. Kuna watu wanaishi.
kwa hiyo ulikurupuka ku denigrate wanaume wa Kiafrika bila kujua ni kwa nini hawana watoto. Daaah... ma think tank tunao!Sijafahamu ni nani mwenye matatizo ya uzazi kati yao.
Uzoefu wa kupanga budget ya nyumba mpaka mshahara mwingine ufike unatupa discipline ya maisha na hii ni nguzo kubwa katika uongozi.Mwanamke anafanya vizuri sana katika majukumu yake, mwanamke ambae anaboronga ni yule aliebebwa na asie jiamini katika elimu na uwezo wake, mi namkubali sana yule KAIRUKI alietumbuliwa kwa kugomea mshahara mdogo, alijiamini na kutegemea akili yake, hawa wa kwenye siasa hawa ni bure kabisa wanamfurahisha bwana wao na kuacha kutumia akili yao.
Kabisa kupanga shughuli kati ya kuhudumia mume na mtoto si kazi ndogo eti, kubeba mimba miezi tisa na kazi za nyumbani hazitetereki ni zaidi ya kuongoza nchi, mama ni kila kitu aisee.Uzoefu wa kupanga budget ya nyumba mpaka mshahara mwingine ufike unatupa discipline ya maisha na hii ni nguzo kubwa katika uongozi.
Kabisa kupanga shughuli kati ya kuhudumia mume na mtoto si kazi ndogo eti, kubeba mimba miezi tisa na kazi za nyumbani hazitetereki ni zaidi ya kuongoza nchi, mama ni kila kitu aisee.