Theresa May ameshinda

Theresa May ameshinda

Gwanggaeto the Great

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2018
Posts
901
Reaction score
1,936
Waziri mkuu wa UK Theresa May ameshinda kura zilizopigwa na wabunge za kutokuwa na Imani na utawala wake. Wabunge wa Chama cha Conservative 315 wameuunga mkono utawala wake. Kama May angalishindwa basi ingalimlazim kuachia ngazi.

Chanzo: Al Jazeera na Press tv
======

Waziri mkuu wa Uingereza Theresa May ameshinda kura ya kuwa na imani naye katika uongozi wake wa chama tawala cha Conservative kwa kupata kura 200 kwa 117.

Baada ya kupata asilimia 63 ya kura zote, sasa ana kinga ya uongozi kwa kipindi cha mwaka mmoja.

Hata hivyo Waziri Mkuu May amesema pia anasikiliza mawazo ya wale waliopiga kura ya kumpinga na kuahidi kuwa atafanyakazi na vyama vyote vya siasa, kuirudisha tena nchi hiyo katika hali yake.

Waziri Mkuu wa Uingereza hii leo atakabiliana na kura ya wabunge kutokuwa na imani na uongozi wake.
Wabunge wa chama tawala cha ndio waliopiga kura jana usiku kwa saa za Afrika Mashariki.

Mhariri wa siasa wa BBC Laura Kuenssberg anasema kucheleweshwa kwa Brexit ndiyo karata ya turufu ambayo wafuasi wa Bi May wametumia kuwashawishi wabunge wasimng'oe madarakani.

Chanzo: BBC Swahili
 
Sometime kujua sana haya mambo huwa hayana msaada ni kama tu kuendeleza ukoloni...

Mtazamo tu, now tuache kujadili watu bali Fursa zilizopo huko mambele..

Mtazamo tu, mayBe njaa ya pesa
 
UK PM Theresa May wins confidence vote with 200 out of 317 Tory MPs supporting h.jpg
 
Uchawi wa malkia umemuokoa!
Hata hivyo hatua anazozichukua kuondoka kwenye ubeberu ni nzuri!
 
Sometime kujua sana haya mambo huwa hayana msaada ni kama tu kuendeleza ukoloni...

Mtazamo tu, now tuache kujadili watu bali Fursa zilizopo huko mambele..

Mtazamo tu, mayBe njaa ya pesa
Naona ni njaa ya pesa walahi
Lazima u think outside the box
 
Hapo ni miezi12 ndio wanaweza kumpigia tena kura,vote of no confidence.

Hail BREXIT.
 
Back
Top Bottom