There's more to web development than PHP | Page 4 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

There's more to web development than PHP

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Graph, Aug 1, 2016.

 1. Graph

  Graph JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2016
  Joined: Jul 20, 2016
  Messages: 1,685
  Likes Received: 3,430
  Trophy Points: 280
  Nimeamua kuanzisha huu uzi baada ya kuona karibia kila developer ninayekutana naye mtanzania tools zake backend: Php + MySQL, frontend: HTML/CSS/JavaScript.

  Ok sawa, Php is a great language ndiyo, ni popular next to Javascript kwenye web development. You can do a lot of things with Php, Ila hata php yenyewe wanavyoitumia ni rough tu, hakuna code arrangement, hakuna kufata pattern flani, kama mtu anafanya OOP unaangalia the code is everywhere hakuna classes, objects zinakua created on the fly tu, tena wengine hadi identation tu ni shida, yaani ukichukua project ukiiangalia unaona ni bora uanze tu kuifanya upya from scratch.

  Tatizo ninahisi ni uvivu wa kujisomea, hakuna chuo duniani utaenda wakufundishe proper ways of programming, how to arrange your classes, reuse your code e.t.c, watakufundisha fundamentals tu, kukuonyesha what the computer is capable of, what are the limits, how stuffs work, vitu vingine kama efficiency of algorithms, how to think like a programmer basi. Mambo ya real life programming inabidi ujifunze mwenyewe, kuna sources nyingi sana online.

  Kuna languages nyingine za kutumia kwenye backend ambazo zinaweza achieve even better results kuliko php kwenye mambo mengi tu, popular ones Go, Node.js (JavaScript) , Python, Java. Wengi nimeona mna uoga sana wa kujifunza kitu kipya, kama hupendi kujifunza huoni kama ulichagua a wrong career? Hii ni industry ambayo haito-stop kukua, either unajifunza every day au unakua left behind, its that simple.

  Kingine kinachonikera, watu kuogopa linux na command line, sio mbaya kuhost projects zako kwenye hosts ambao unatuma tu php files then everything works, ila ukiishia hapo una tatizo, Jifunze linux na kutumia command line vuzuri, jifunze kuhost your own machine, ingia hata amazon cloud chukua EC2 instance wanakupa offer ya kuhost bure mwaka mzima, cheza na zile machine ujifunze vitu vya muhimu kama load-balancing, scaling up and down of servers, data backup ya database yako, na mjifunze pia hadi caching, kuna tools za ku~cache kama Redis, Memcache, mambo kibao ya kujifunza ambayo yanaweza kufanya web apps zenu ziwe much much better. Na command line sio kwa ajili ya kuhost machine tu na kudiscover files, kuna apps kama vim, unaweza change code on runtime kwenye server, kama kuna tatizo unalifix from anywhere, very convenient.

  Namalizia na client side, There's more to frontend development than jQuery, kuna tools kama React, AngularJS, Polymer, watu wanajua jquery tu. Jifunze tool kama React you won't regret it, personally I think React ndio the way the DOM was supposed to be manipulated, kila kitu kwenye its own component, very easy to work with. And please minify your javascript files, ikiwezekana tumia tools za kucombine all your scripts into a single file na kuliserve hilo moja, mkito walikua na hili tatizo you could hack and download a song kwa kubadilisha a single value kwenye their javascript code nikajiuliza hivi they don't even double check kwenye server side pia before serving you the file, naona walishafix hili tatizo siku hizi.

  Tupunguze uvivu.
   
 2. s

  stormryder JF-Expert Member

  #61
  Aug 25, 2017
  Joined: Mar 23, 2013
  Messages: 834
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 60
  programming is more than Syntax, lakini si kweli kuwa kuelewa Language zaidi ya moja ni kosa, Hakuna computer Scientist, Programmer etc, ambaye anajua Language moja, Mfano Apple wana Objective-C, Swift etc, Google wana Golang, Python, Java, kotlin, Dart, Microsoft wana C#, TypeScript VB etc na zote wanazitumia kwenye Project zao

  kumbuka kila lugha ni nzuri kwenye kazi flani, alafu si kweli unaweza kumaster lugha moja completely hata Linus Tovald mungu wa C wala Assembly
   
 3. Kurt godel

  Kurt godel JF-Expert Member

  #62
  Aug 30, 2017
  Joined: Jan 11, 2017
  Messages: 318
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 60
  Ndo shida ya kuwa programmer au cs sometimes unakuwa theoretical sana mpaka unasahau practicality.Ckia bro nakushauri anza kusoma software engineering ndo utaona kwanini kitu kinachoitwa program logic ni muhimu sana.Mimi sijawahi kusoma Golang lakini ukiniletea source code ntapata hints kwasababu ya program logic.Kinachobakia ni kuchukua dcumentation na kufanya reading.Ukiwa mtu wa cs unapata illusion kuwa unaweza soma lugha zote hzo lakini ukishaanza kusoma software engineering unaona kabisa kuwa kusoma lugha zote hzo kiundani ni sawa sawa na kujifunza lugha zote duniani ili umsalimie mjomba kwa njia tofauti
   
 4. s

  stormryder JF-Expert Member

  #63
  Aug 31, 2017
  Joined: Mar 23, 2013
  Messages: 834
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 60
  so you can understand the Assembly bila kujua how hardware works??
   
 5. Kurt godel

  Kurt godel JF-Expert Member

  #64
  Aug 31, 2017
  Joined: Jan 11, 2017
  Messages: 318
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 60
  haha bro the only knowledge ya hardware unayohitaji kujua katika assembly ni architecture ya hyo processor from a programmers point of view vitu kama stored program concept ,instruction set architecture, memory adress modes .Huitaji kuenda ndani ya hardware kabisa mpaka kwenye abstraction level ya flip flop circuits na logic gates.Hzo zilikuwa enzi hzo za kina dennis Ritchie ambao walikuwa wana program assembly kwa kutumia real address mode ambayo ilikuwa inampa mtu uwezo wa ku program kitu ambacho kina communicate directly na hardware.Now days bro ni protected mode na kuna protection rings hugusi hardware bila kutumia system calls.

  mfano main PROC
  push Eip
  push eax
  push esp
  mov ebp,esp
  ...
  INVOKE IgnorantProgrammer
  ......
  RET
  main endp
  end

  the only knowledge utayohitaji kuelewa hapo na ISA na architecture (registers, opcodes na vitu vengine)from a programmers point of view kujua kuwa hzo code hapo juu ni maandaliz ya ku execute function IgnorantProgrammer kwenye harware stack ya intel based processors.Hiutaji kuwa hardware mpaka kwenye level ya logic gates.
  Unless maybe unatengeneza critical software kama za kwneye roovers za NASA au Operating system kusoma harwdware kiundani ni a wastage of your time sababu hautakuja tumia hzo knowledge za transistor as a application programmer
   
 6. raymondkishimba

  raymondkishimba Member

  #65
  Aug 31, 2017
  Joined: Aug 30, 2017
  Messages: 5
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Balaaah
   
 7. r

  robbyl JF-Expert Member

  #66
  Feb 14, 2018
  Joined: May 23, 2013
  Messages: 360
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 60
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]

  All PDF android app ni app ya kufungua faili za PDF na zana kibao za PDF naendelea kutengeneza, Tafadhali toa maoni kipi kiongezwe
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...