There'll Be No Escape in Future From Telephone

There'll Be No Escape in Future From Telephone

Hoja zako ni kubwa shida siwez kuandika gazeti kwa simu..
 
sawa lakini kwa ukubwa wa Goliath na udogo wa Daudi this feat was nearly impossible!.
Tujikumbushe habari za pressure mkuu.. tembo anaweza pita kwenye theruji asizame mimi nikazama.. Surface area lazima ihusike.
 
Tujikumbushe habari za pressure mkuu.. tembo anaweza pita kwenye theruji asizame mimi nikazama.. Surface area lazima ihusike.
come on mzee!!.. unajua utanifungulisha darasa usiku huu!!
 
Nah, kipndi cha metusela wamisri walikuwa bado saana kustaarabika!.. Kipindi hiko bado wamisri ni makabila/kikundi cha watu tu!.Hata Astronomy na Zodiac zilikuwa bado hazijaanza kueleweka!.

I idia!.
Mkuu methuselah kazaliwa 3680 BC wakati ustarabu wa Egypt ulikua 3100 huko hapa ni kweli
 
come on mzee!!.. unajua utanifungulisha darasa usiku huu!!
Sina mzuka wa kuandika wiki hii..
Sawa jamaa alikua mkubwa kwani juee dogo lenye pressure (force) kubwa likipiga kwenye frontal lobe haliwezi kuleta madhara kwa unavyooona
 
YES, ukubwa wa kiumbe unachangia sana kuamua life span yake!, Imagine wakati tembo anatumia dakika 3 (i stand to be corrected) moyo kutoa beat moja, Panya anatoa beat 200 (i stand to be corrected too) kwa dakika!. Its all about size that matter!.
So mtu akiwa na mwili mkuubwa anaweza ishi kuliko mwenye umri mdogo?
 
Sina mzuka wa kuandika wiki hii..
Sawa jamaa alikua mkubwa kwani juee dogo lenye pressure (force) kubwa likipiga kwenye frontal lobe haliwezi kuleta madhara kwa unavyooona
unajua bunduki inayotumika kumuua tembo/nyati?..
 
ceteris paribus, YES
Sio kwamba wale jamaa walikua na mwili mkubwa so mazingira yao yalikua yapo compatible na watu wa dizaini hiyo. Nasi tunamili midogo mazingira yetu yanaruhu watu kama sisi. ?
 
Sio kwamba wale jamaa walikua na mwili mkubwa so mazingira yao yalikua yapo compatible na watu wa dizaini hiyo. Nasi tunamili midogo mazingira yetu yanaruhu watu kama sisi. ?
Me na wewe tutadiscuss vizuri kesho (baadae)!..
 
Back
Top Bottom