chama mpangala
JF-Expert Member
- Sep 3, 2015
- 508
- 704
Eti Metselah aliwezaje kuishi miaka 1000+ bila smartphone?Imagine you are conversing with Victorian era person and you are telling him there is a thing called Microwave!..
sawa na kuuliza Daudi aliwezaje muua Goliath na kajiwe!?Eti Metselah aliwezaje kuishi miaka 1000+ bila smartphone?
Kajiwe kanaweza kua kadogo ila force kama ilikua kubwa na kakapiga maeneo mabaya unaweza dedi.. devi alitumia "Kombeo" Kwa sie tuliowinda na kuchunga maharage yasiliwe na nyani tunajua hii kifaa vizurisawa na kuuliza Daudi aliwezaje muua Goliath na kajiwe!?
Hiyo ilikuwa 1953 na naamini 99% ya waliosikia walipinga kwa nguvu zote
Itawezekana kama tukiacha kuwatenga watz wenzetu eti kwa sababu wana maoni tofautiSo kuna uwezekano na sisi siku 1 tutakua donor country tuanze kuwasaidia misaada ya kipesa na kijeshi mabeberu sio?
unaachajwe kupingwaHiyo ilikuwa 1953 na naamini 99% ya waliosikia walipinga kwa nguvu zote
ImpossibleSo kuna uwezekano na sisi siku 1 tutakua donor country tuanze kuwasaidia misaada ya kipesa na kijeshi mabeberu sio?
Unamaanisha kama mnavompinga Ontario sio?Hiyo ilikuwa 1953 na naamini 99% ya waliosikia walipinga kwa nguvu zote
1. waliwezaje/walihesabu vipi miaka kabla ya AD ikiwa kalenda ya kupanga siku ilianzishwa na Gregory? (inawezekana kuna makosa ya kihesabu)Kajiwe kanaweza kua kadogo ila force kama ilikua kubwa na kakapiga maeneo mabaya unaweza dedi.. devi alitumia "Kombeo" Kwa sie tuliowinda na kuchunga maharage yasiliwe na nyani tunajua hii kifaa vizuri
Mimi si miongoni mwa wanaompinga huyo billionea wa Mali & akiliUnamaanisha kama mnavompinga Ontario sio?
Naona umeanza kupinga..Impossible
1. Itakua walifanya makadirio tu ili kupata miaka.. ila ukitumia logic ya kalenda ya gregory au Julián utaishia kupata ukakasi.. ila katika kipindi hiko pia watu hawakua nyuma kwenye masuala ya Astronomy na Zodiac..Kipindi hiko ustaarabu wa wamisri ndio ulikua umeenea labda walitumia means moja wapo.1. waliwezaje/walihesabu vipi miaka kabla ya AD ikiwa kalenda ya kupanga siku ilianzishwa na Gregory? (inawezekana kuna makosa ya kihesabu)
2. Metusela kama aliishi miaka 1000+ iweje hakuna historia yake kwa undani (amezidiwa hata na aliyeishi miaka 35-Yesu)
3. Watu wa zamani walikuwa naturally giants hii ni moja ya sifa iliyopelekea kuishi muda mrefu (hakuna kiumbe kidogo/kifupi kinachoishi muda mrefu). but i doubt it!.
Frontal lobe iko wapi kaka...
PS: kuna eneo critical kwenye paji la uso?
1. Itakua walifanya makadirio tu ili kupata miaka.. ila ukitumia logic ya kalenda ya gregory au Julián utaishia kupata ukakasi.. ila katika kipindi hiko pia watu hawakua nyuma kwenye masuala ya Astronomy na Zodiac..Kipindi hiko ustaarabu wa wamisri ndio ulikua umeenea labda walitumia means moja wapo.
I don't merely refers to bible nimetafuta sehemu mbalimbali hata kwenye vitabu vingine sijaona historia ya Metusela kwenye miaka yake 1000+ aloiishi, fun thing is kuna walomtangulia wana historia zao iweje yeye aloishi kuliko binadamu yeyote kakosa maandishi?.2. Labda unaposema hakuna historia yake sana unakua una refer kutoka kitabu kipi I assume unatumia bible right? Labda waliona mambo yake kuyaorodhesha haina faida...kuna characters wengine wametajwa jina tu.
YES, ukubwa wa kiumbe unachangia sana kuamua life span yake!, Imagine wakati tembo anatumia dakika 3 (i stand to be corrected) moyo kutoa beat moja, Panya anatoa beat 200 (i stand to be corrected too) kwa dakika!. Its all about size that matter!.3. Hivi ukubwa au umbile la mtu haliwezi athiri life span ya mtu?
sawa lakini kwa ukubwa wa Goliath na udogo wa Daudi this feat was nearly impossible!.Frontal lobe iko wapi kaka..