There is something wrong with Morogoro Road

There is something wrong with Morogoro Road

Nyerere alijenga Morogoro Road, Mkapa akajenga Morogoro Road, Kikwete akajenga Morogoro Road, Rais Magufuli anajenga Morogoro Road

Something must be wrong with Morogoro Road

Usione Nipo Kimya Nakusubiri Uropoke
Kikwete alijenga na uwanja wa ndege terminal 3
 
Morogoro Road!
Road to Morogoro!
 
Hao wengine baada ya Mchonga wanaipanua na kuikarabati tu mkuu ila Mchonga ndio alijenga. Hilo la kwanza lakini la pili ni kuwa hii barabara imeshikilia uti wa mgongo wa mawasiliano na mikoa mingine mkuu kutoka Dar, hakuna namna ni kuiweka vizuri tu
 
Nikweli, lakini lazima kuwe na Alternative road kubwa kama hiyo, ikatokea maafa na daraja la Ruvu na mengine nyuma ya Ruvu yakavunjika itakuwaje? Kunaumuhimu wa kuwa na barabara kubwa 3 kama hizo za kutoka na kuingia Dar.
 
Nyerere alijenga Morogoro Road, Mkapa akajenga Morogoro Road, Kikwete akajenga Morogoro Road, Rais Magufuli anajenga Morogoro Road

Something must be wrong with Morogoro Road

Usione Nipo Kimya Nakusubiri Uropoke
Kila mmoja hapo ameimarisha barabara hio kwa kiasi chake,kulingana na wakati.
 
Hilo ndo tatizo la short term plan kungelikua na long term plan za ujenzi wakati wanajenga barabara za mwendo kasi,wangejenga na ubungo interchange sasa walikurupuka leo tena wanarudi kujenga interchange ,wakimaliza ndo utasikia wanaanza ujenzi wa barabara 8 hilo eneo wanalobomoa mbezi hivi sasa na kimara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom