nimeipenda sana hii mimi mkristo na nina amini kwenye usawa kwa dini zote.sio bongo mtu akiwa dini tofauti basi inakua ni uadui kama wale jamaa wanaohubirigi pale mwenge.jambo moja tunalopaswa kujua mimi john wa morogoro ningezaliwa pemba ningeitwa juma kwasababu ningekuwa muislam