Kwani nikikuuliza theory ni nini maana yake sijui theory ni nini?Sijakejeli theory, bali nilisema "theory itabaki kuwa theory haijalishi nini kipo ndani ya theory.
Uliniuliza ushawahi kuiona 1.
Nikakuletea "ushawahi kuiona KULA?" sababu nayo inashabihiana na swali lako.
Nimekuuliza ili ufafanue swali lako.
Ina maana muda wote ulikuwa unaongelea kitu ambacho hukijui?
Hujui hata theory ni nini?
Hapana nimeuliza ili ufafanue swali sababu swali lako halijafafanuliwa na mpaka sasa inaoneka umeshindwa kufafanua swali lako.
Hapana sijawahi sikia kitu kinachoitwa Socratic question Ila nilishawahi kusoma kuhusu Socratic questioning.Ushawahi kusikia kitu kinaitwa Socratic question?
Sasa kwanini unauliza theory ni nini?Kwani nikikuuliza theory ni nini maana yake sijui theory ni
Theory itabaki kuwa theory haijalishi nini kipo ndani ya theory.Unajua Relativity Theory inasema nini?
Ina maana muda wote ulikuwa unaongelea kitu ambacho hukijui?Theory ni nini
Sawa mkuu nitauanzisha.Nafikiri uanzishe huo uzi ili tusiuingilie uzi huu wa mada nyingine.
Unadismiss kitu ambacho hata kukielewa hukielewi.Hapana sijawahi sikia kitu kinachoitwa Socratic question Ila nilishawahi kusoma kuhusu Socratic questioning.
Sasa kwanini unauliza theory ni nini?
Theory itabaki kuwa theory haijalishi nini kipo ndani ya theory.
Ina maana muda wote ulikuwa unaongelea kitu ambacho hukijui?
Kama unakijua kwanini unauliza?
Wapi nime-dismiss?Unadismiss kitu ambacho hata kukielewa hukielewi
Hapana tatizo unalo wewe unayeshindwa kuelewa theory itabaki kuwa theory haijalishi nini kipo ndani ya hiyo theory.Mpaka hapo hujaona kwamba una tatizo?
Wapi nime-dismiss?
Hapana tatizo unalo wewe unayeshindwa kuelewa theory itabaki kuwa theory haijalishi nini kipo ndani ya hiyo theory.
Sasa kwanini waiite theory?
Hivyo vyote haviondoi uhalisia wa theory.Wakati vitu hivyo ndivyo vinakuwezesha wewe kuandika hapa na kutuma jumbe zionekane dunia nzima.
Kipi ambacho sikielewi?Unabisha vitu ambavyo huvielewi. Kwa minajiki ya "ni theory tu"
Sasa wewe unaiitaje kama sio theory?Umedismiss kwamba Relativity ni Theory tu, wakati huelewi hata hiyo Relativity ni nini
Umenimezesha maneno.Unasema theory itabaki kuwa theory wakati, hata hujasoma hiyo theory na huelewi kwamba hata kusema theory itabaki kuwa theory ni theory.
Nina uhakika huna uhakika na ulichokiandika bali unadhani ni kweli.You seem to think you have found the truth even before seeking it!
Vaclav havel ni nani kwako?Vaclav Havel said we should seek the company of those who seek the truth, and avoid those who think they have found it.
Mpaka hapo unajipinga mwenyewe kwa alichosema vaclav havel.You seem to think you have found the truth even before seeking it!
sababu hata wewe umedhani umeupata huo ukweli juu yangu bila hata kuutafuta.avoid those who think they have found it.
Unaelewa Einstein's Relativy ni nini? Unaweza kuielezea kwa kina hapa kabla ya kui dismiss kwamba "ni theory tu"?Hivyo vyote haviondoi uhalisia wa theory.
Kipi ambacho sikielewi?
Sasa wewe unaiitaje kama sio theory?
Umenimezesha maneno.
Sijasema theory itabaki kuwa theory tu bali nimesema chochote kilicho ndani ya theory hakiondoi uhalisia wa theory.
Nina uhakika huna uhakika na ulichokiandika bali unadhani ni kweli.
Vaclav havel ni nani kwako?
Kwanini tusitafute Ukweli wenyewe.
Kuliko kupoteza muda kutafuta company ya hao watafuta ukweli?
Na kitendo cha wewe kuandika
Mpaka hapo unajipinga mwenyewe kwa alichosema vaclav havel.
sababu hata wewe umedhani umeupata huo ukweli juu yangu bila hata kuutafuta.
You should start avoid yourself first.
Ni theory.Unaelewa Einstein's Relativy ni nini?
Mbona unanimezesha maneno sijaandika ni "theory tu".Unaweza kuielezea kwa kina hapa kabla ya kui dismiss kwamba "ni theory tu"?
Nimekuuliza theory ni nini?Ni theory.
Mbona unanimezesha maneno sijaandika ni "theory tu".
Bali nimesema kilicho ndani ya theory hakiondoi uhalisia wa theory.
Kivipi?Nimekuuliza theory ni nini?
Mpaka sasa hujajibu.
Unaelewa hata uwepo wako hapa duniani ni theory pia?
Kivipi nini?
Ina maana ulikuwa unaongelea kitu ambacho hata hukijui?Nimekuuliza theory ni nini?
Uwepo ni nini?Unaelewa hata uwepo wako hapa duniani ni theory pia?
Kukuuliza kitu ni lazima niwe sijui?Ina maana ulikuwa unaongelea kitu ambacho hata hukijui?
Kama unakijua kwanini unauliza?
Uwepo ni nini?
Sasa kwanini unauliza?Kukuuliza kitu ni lazima niwe sijui?
Unajua Socratic question ni nini
Sijui Socratic question ni nini, ila najua kuhusu Socratic questioning.Unajua Socratic question ni nini?
Haijalishi nini kipo ndani ya theory hakiondoi uhalisia wa theory.Unaweza kuelezea Einstein's Relativity Theory inasemaje?
Kumekuwa na Gumzo kubwa duniani kufuatia nadharia inayodai kuwepo kwa uwezekano wa kusafiri kwenye muda (Time travel).
Ingawa kuna mvutano mkubwa juu ya ukweli wa hili jambo kwa upande wangu naona haliwezekani kwasababu zifuatazo;
Dunia ni moja
Dunia ni moja na matukio yote yanayotokea hutokea kwa muda mmoja na hupita, sasa ukirudi utarudi wapi?
Future bado haijatokea
Sisi ndio tunapelekea future kutokea sasa inawezekanaje hiyo future uione kabla haijafanyika?
ni mtazamo tu..
Niko tayari kukosolewa
bosi najitahidi kufuatilia maandiko yako lakini yanachosha kusoma....unavyopangilia matamshi yako, na aina ya kiswahili unachotumia ni kile kisichokuwa na mvuto kusoma...unaweza ukawa na maudhui mazuri sana lakini fani iliyotumika ikaboa....jaribu kuliweka sawa hilo.Watu Kazini...
Tazama treila...
The problem of us is resources,technology and people who able to do this bro,most of youth today are sharing connections of porn clips instead of scientific innovation 😊I believe in time travel. Ni vile technolojia yetu ipo chini kwa sasa. Vipi pale tutakapokuwa na technolojia itakayokuwezesha kusafiri at least kwa 80% ya kasi ya mwanga into the space..... Hapa ndipo tutakaposhuhudia uhalisia wa Time travelling
However, I don't believe going in the past.... My believe is going to the future my travelling at very high speed out of the earth and come back on the ground. People who were in similar age with you, they will be much older. This is possible, it's just a matter of technology.