Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,254 Feb 13, 2021 #141 dong yi said: ondoa shaka, atabadilishwa tu Click to expand... Hivi darsa linaanza lini?
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,254 Feb 13, 2021 #142 Analyse said: Ilo ni pepo Click to expand... Mapepo wanayo watu wanaoangalia movie Unakuta watu wanakesha hadi usiku wa manane utadhani wanawanga
Analyse said: Ilo ni pepo Click to expand... Mapepo wanayo watu wanaoangalia movie Unakuta watu wanakesha hadi usiku wa manane utadhani wanawanga
dong yi JF-Expert Member Joined Jan 31, 2016 Posts 5,956 Reaction score 8,344 Feb 13, 2021 #143 Saint Anne said: Mapepo wanayo watu wanaoangalia movie Unakuta watu wanakesha hadi usiku wa manane utadhani wanawanga Click to expand... hujakutana na series za wakorea wewe......
Saint Anne said: Mapepo wanayo watu wanaoangalia movie Unakuta watu wanakesha hadi usiku wa manane utadhani wanawanga Click to expand... hujakutana na series za wakorea wewe......
dong yi JF-Expert Member Joined Jan 31, 2016 Posts 5,956 Reaction score 8,344 Feb 13, 2021 #144 Saint Anne said: Hivi darsa linaanza lini? Click to expand... ukiwa tayar toa taarifa, andaa daftari na kalamu mapema!
Saint Anne said: Hivi darsa linaanza lini? Click to expand... ukiwa tayar toa taarifa, andaa daftari na kalamu mapema!
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,254 Feb 13, 2021 #145 dong yi said: hujakutana na series za wakorea wewe...... Click to expand... Nimekaa shule miaka na miaka Na nimebahatika kuishi na malegendary wafuatiliaji wa hizo mnaita series ila sijawahi kubadilika hata.
dong yi said: hujakutana na series za wakorea wewe...... Click to expand... Nimekaa shule miaka na miaka Na nimebahatika kuishi na malegendary wafuatiliaji wa hizo mnaita series ila sijawahi kubadilika hata.
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,254 Feb 13, 2021 #146 dong yi said: ukiwa tayar toa taarifa, andaa daftari na kalamu mapema! Click to expand... Mimi nilishaandaa tangu Jana Kazi kwako mwalimu kashasha
dong yi said: ukiwa tayar toa taarifa, andaa daftari na kalamu mapema! Click to expand... Mimi nilishaandaa tangu Jana Kazi kwako mwalimu kashasha