Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,641
- 47,660
Habari zenu ndugu zangu ambao hatujuani kwa sura wa majina!
Wahenga wanasemaga katika mtihani wa maisha hutakiwi kuigilizia au kupiga chabo maana questions paper zetu ziko tofauti. Ila kwa upande wangu Analyse naamini questions paper zinafanana, ila ukisema ukopi booklet ya mwenzako lazima ufeli.
As human beings wote requirements zetu naamini zipo sawa, ila tunatofautiani upiganiaji hizo requirements.
Recently humu ndani nimeona threads kibao zikizungumzia bikra na single mothers. Kuna anaesema usipooa bikra jua wewe ni mchepuko tu na ndugu yangu Jokajeusi anajitahidi sana kutetea bikra. Mwingine anasema bikra zinamtesa, maana miaka mitatu hajapewa shoo. Asilimia kubwa wapo very negative about single mothers, kwamba ukiwa nae lazima baba wa mtoto apashe kiporo tu.
Things zingekuwa so easy and straight like that nadhan tusingekuwa na stress. Tungekwepa single mothers ili tusigongewe, tungekimbilia only virgins ili tuwe na amani.
Kama baharia wa nchi kavu na hustles zangu katika hii nchi, nimekutana na mengi sana hadi leo unaponiona. Kuna mtu ukimwambia about kuoa single mother hatokuelewa, ila yupo jamaa ambae ameoa single mother mwenye watoto wawili wa baba tofauti, ila anaishi very peacefull kuliko mshikaji wangu aliyeoa dem bikra, ila kila mwezi wanavikao vya familia kuhusu usuluhishi. Mwingine alikutana na dem 2018 mwishoni akiwa bikra (demu alikuwa anasomea certificate ya ualimu wa primary). Wamedumu since then, ila jamaa juzi kati alipokuja kushika simu ya demu, anagundua dem anamshikaji mwingine karibia na anaposomea, demu huyo huyo wakati yupo field alikuwa anatoka na mshikaji mwingine (kumbuka alikutwa bikra na jamaa ndio aliitoa
Kuna mdau humu kitambo nahisi ni RRONDO kama sijakosea alishawahi kusema "Ukitoa sex katika mahusiano, 90% ya wanawake hawana cha ku ofa, ila pia ukitoa hela kwenye mahusiano, 90% ya wanawake hawana sababu ya kuendelea kuwepo"
Hii statement ukiiangalia kwa haraka ni kama umegusa ukweli kwa kiasi fulani, ila ukisema ucheki uhalisia utakutana na mitazamo tofauti kiasi. Kuna mtu ukimwambia mapenzi bila pesa hayaendi hawez kukuelewa kabisa, maana alipata mpenzi na hatimae akaja kuwa mke kipindi yeye kafulia kichizi. Ila nina jamaa yangu anaamini hela ikiisha na mapenzi yanaisha.
Katika mahusiano mwanamke anaplay vital role zaidi ile ya kuprovide sex tu. Mwanamke anauwezo wa kumshape mwanaume akawa vile atakavyo, na mwanamke anaweza akakufanya uwe better person kuliko ulivyo sasa, swala msingi ni upate mtu sahihi tu, maana naamini SIO KILA KIATU UNACHOVAA KINAKUPENDEZA. Kiatu kinaweza kuwa kizuri, ila kikawa kinakubana, trust me hapo hautakuwa comfortable, utakuwa unachechemea muda wote. Na kikiwa kikubwa kitakufanya uwe slow maana kitakuwa kinavuka ukitembea.
Kuna wadau utasikia wanasema "UKIWA MASKINI KAZI YA KUMLINDA MKE/MPENZI WAKO MUACHIE MUNGU". Ila wengine watasema " We are happy until we get married", hapo hapo yupo atakayesema " Ndoa tamu"
Kipindi mwanamke akiolewa anajifeel secure, mwanaume akioa anajifeel trapped. Ndio maana binafsi kwa upande naamini "There is no template for relationship". Anayempa stress Analyse akiangukia kwa Baba Swalehe au Perimeter watakuwa very happy. Anayemfanya Saint Anne awe happy and charming, siku akianza toka na Karma utakuta wanapeana stress kila siku.
Sio kila anayechepuka anafanya hivyo kwa lengo la tamaa, people are searching for happiness and comfort. Ndoa nyingi life span yake ni 5 years, after that drama huwa zinaanza, wachache sana wanatoboa miaka mingi pamoja.
Huwa naamini LATE MARRIAGES ARE BETTER THAN BAD MARRIAGES. Unajua watu wengi wanaoa for the sake of age and not for the sake of love. Mwingine kipato kidogo tu tayari ashaanza michakato ya kuoa, wala hataki kupoteza muda.
Ninajamaa yangu mmoja, ndani ya mwaka 2019 peke yake, alikuwa na the love of his life wanne, na kila mmoja kwa wakati wake alikuwa tayari kumuoa, ila time hii sidhan hata kama anajua walipo. Hivi unakuwaje na love of your life 4 times in a year?

Haya maswala ya kukimbilia kuoa au kuolewa, yanasababisha mnaoa wanawake wasio wenu, au kuolewa na wanaume wasio wenu then zinafata kauli "I MET MY SOULMATE AFTER GETTING MARRIAGE"

. Migogoro inaanza mwishowe ndoa inavunjika. Sasa haraka ilikuwa ya nini? Kila ndoa zinapokuwa na migogoro au kuvunjika, mnatupanikisha ambao bado hatujaoa, tunaanza kuona ndoa ni mtego.
Kuna mdau humu prospilla anaomba ushauri, kwamba baba mkwe wake anachangia kuvunja ndoa yake. Yani wengine ndoa zao zinavunjwa na usaliti, ila ya huyu inavunjwa na dingi

(no offence broh). Siumemuona Muuza simu used anatamani kurudi utotoni? Sababu ni mapenzi tu. Au ndugu yangu establishment anauliza namna gani ya kufanya biashara ili mke wake asijue? No offence pia kwako broh, ila how come mwanamke uliyeridhia kuoa akunyime unyumba?
Laiti kama zile chemical bonds tulizokuwa tunasoma kwenye chemia zingekuwa zinasaidia na huku, ndio tungejua kuna bonds nyingi sana tunazifosi ila hazireact kikemikali na hazitakaa zikubali no matter what we try and force.
Alaf naomba niwakumbushe kitu kimoja KUTESEKA AU KUISHI KWA TABU LEO HAIMAANISHI HUKO MBELENI NDIO MAMBO YATAKAA SAWA THEN UTAISHI KWA RAHA. Usipokuwa makini unaweza ishi kwa msoto hadi ile siku unaaga. Uvumilivu unamipaka, ila umakini ni nguzo.
Any way, narudia THERE IS NO TEMPLATE FOR RELATIONSHIPS.
Analyse
#Baharia_wa_nchi_kavu.
Wahenga wanasemaga katika mtihani wa maisha hutakiwi kuigilizia au kupiga chabo maana questions paper zetu ziko tofauti. Ila kwa upande wangu Analyse naamini questions paper zinafanana, ila ukisema ukopi booklet ya mwenzako lazima ufeli.
As human beings wote requirements zetu naamini zipo sawa, ila tunatofautiani upiganiaji hizo requirements.
Recently humu ndani nimeona threads kibao zikizungumzia bikra na single mothers. Kuna anaesema usipooa bikra jua wewe ni mchepuko tu na ndugu yangu Jokajeusi anajitahidi sana kutetea bikra. Mwingine anasema bikra zinamtesa, maana miaka mitatu hajapewa shoo. Asilimia kubwa wapo very negative about single mothers, kwamba ukiwa nae lazima baba wa mtoto apashe kiporo tu.
Things zingekuwa so easy and straight like that nadhan tusingekuwa na stress. Tungekwepa single mothers ili tusigongewe, tungekimbilia only virgins ili tuwe na amani.
Kama baharia wa nchi kavu na hustles zangu katika hii nchi, nimekutana na mengi sana hadi leo unaponiona. Kuna mtu ukimwambia about kuoa single mother hatokuelewa, ila yupo jamaa ambae ameoa single mother mwenye watoto wawili wa baba tofauti, ila anaishi very peacefull kuliko mshikaji wangu aliyeoa dem bikra, ila kila mwezi wanavikao vya familia kuhusu usuluhishi. Mwingine alikutana na dem 2018 mwishoni akiwa bikra (demu alikuwa anasomea certificate ya ualimu wa primary). Wamedumu since then, ila jamaa juzi kati alipokuja kushika simu ya demu, anagundua dem anamshikaji mwingine karibia na anaposomea, demu huyo huyo wakati yupo field alikuwa anatoka na mshikaji mwingine (kumbuka alikutwa bikra na jamaa ndio aliitoa
Kuna mdau humu kitambo nahisi ni RRONDO kama sijakosea alishawahi kusema "Ukitoa sex katika mahusiano, 90% ya wanawake hawana cha ku ofa, ila pia ukitoa hela kwenye mahusiano, 90% ya wanawake hawana sababu ya kuendelea kuwepo"
Hii statement ukiiangalia kwa haraka ni kama umegusa ukweli kwa kiasi fulani, ila ukisema ucheki uhalisia utakutana na mitazamo tofauti kiasi. Kuna mtu ukimwambia mapenzi bila pesa hayaendi hawez kukuelewa kabisa, maana alipata mpenzi na hatimae akaja kuwa mke kipindi yeye kafulia kichizi. Ila nina jamaa yangu anaamini hela ikiisha na mapenzi yanaisha.
Katika mahusiano mwanamke anaplay vital role zaidi ile ya kuprovide sex tu. Mwanamke anauwezo wa kumshape mwanaume akawa vile atakavyo, na mwanamke anaweza akakufanya uwe better person kuliko ulivyo sasa, swala msingi ni upate mtu sahihi tu, maana naamini SIO KILA KIATU UNACHOVAA KINAKUPENDEZA. Kiatu kinaweza kuwa kizuri, ila kikawa kinakubana, trust me hapo hautakuwa comfortable, utakuwa unachechemea muda wote. Na kikiwa kikubwa kitakufanya uwe slow maana kitakuwa kinavuka ukitembea.
Kuna wadau utasikia wanasema "UKIWA MASKINI KAZI YA KUMLINDA MKE/MPENZI WAKO MUACHIE MUNGU". Ila wengine watasema " We are happy until we get married", hapo hapo yupo atakayesema " Ndoa tamu"
Kipindi mwanamke akiolewa anajifeel secure, mwanaume akioa anajifeel trapped. Ndio maana binafsi kwa upande naamini "There is no template for relationship". Anayempa stress Analyse akiangukia kwa Baba Swalehe au Perimeter watakuwa very happy. Anayemfanya Saint Anne awe happy and charming, siku akianza toka na Karma utakuta wanapeana stress kila siku.
Sio kila anayechepuka anafanya hivyo kwa lengo la tamaa, people are searching for happiness and comfort. Ndoa nyingi life span yake ni 5 years, after that drama huwa zinaanza, wachache sana wanatoboa miaka mingi pamoja.
Huwa naamini LATE MARRIAGES ARE BETTER THAN BAD MARRIAGES. Unajua watu wengi wanaoa for the sake of age and not for the sake of love. Mwingine kipato kidogo tu tayari ashaanza michakato ya kuoa, wala hataki kupoteza muda.
Ninajamaa yangu mmoja, ndani ya mwaka 2019 peke yake, alikuwa na the love of his life wanne, na kila mmoja kwa wakati wake alikuwa tayari kumuoa, ila time hii sidhan hata kama anajua walipo. Hivi unakuwaje na love of your life 4 times in a year?

Haya maswala ya kukimbilia kuoa au kuolewa, yanasababisha mnaoa wanawake wasio wenu, au kuolewa na wanaume wasio wenu then zinafata kauli "I MET MY SOULMATE AFTER GETTING MARRIAGE"

. Migogoro inaanza mwishowe ndoa inavunjika. Sasa haraka ilikuwa ya nini? Kila ndoa zinapokuwa na migogoro au kuvunjika, mnatupanikisha ambao bado hatujaoa, tunaanza kuona ndoa ni mtego.Kuna mdau humu prospilla anaomba ushauri, kwamba baba mkwe wake anachangia kuvunja ndoa yake. Yani wengine ndoa zao zinavunjwa na usaliti, ila ya huyu inavunjwa na dingi

(no offence broh). Siumemuona Muuza simu used anatamani kurudi utotoni? Sababu ni mapenzi tu. Au ndugu yangu establishment anauliza namna gani ya kufanya biashara ili mke wake asijue? No offence pia kwako broh, ila how come mwanamke uliyeridhia kuoa akunyime unyumba? Laiti kama zile chemical bonds tulizokuwa tunasoma kwenye chemia zingekuwa zinasaidia na huku, ndio tungejua kuna bonds nyingi sana tunazifosi ila hazireact kikemikali na hazitakaa zikubali no matter what we try and force.