Mtini
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 1,493
- 2,366
Katika kipindi hiki cha kampeni tumeshuhudia CCM ikifanya vituko vingi katika kumnadi mgombea wao DK John P. Magufuli. Tumeona wameacha kusema CHAGUA CCM sasa wanasema CHAGUA MAGUFULI hii ni kwasababu CCM haiuziki kwa wananchi kwa kuwa imechafuka sana. Kudhibitisha hili Katibu wa chama ndg kinana alikiri akiwa kaskazini kuwa tumchague Magufuli ila asafiche chama kazi ambayo uongozi wa sasa umeshindwa licha ya kupigiwa kelele sana na wananchi.
Wanasema tumchague Magufuli kwa kuwa ni mtendaji ndio ni kweli ana sifa hiyo hatuwezi kukataa. Tatizo % kubwa ya makada wa CCM wanaotarajiwa kufanya kazi na Magufuli wanaandamwa na kashfa pia bila kusahau ndio waliotufikisha hapa tulipo. Sasa tunawezaje kuamini katika ONE MAN SHOW? Magufuli ana macho ya kuona hadi kinachofanywa na Bwana afya wa mtaa huku chini tuliko sisi?
Maandiko ya Yesu yanasema "WATU HAWAWEKI MVINYO MPYA KATIKA KIRIBA CHA ZAMANI, MVINYO MPYA KATIKA KIRIBA KIPYA" Kwa maneno haya MAGUFULI ANGEWEZA KUWA CHAGUO SAHIHI KAMA ANGEKUWA UKAWA
Msigwa aliwahi kusema "PROBLEMS CANNOT BE SOLVED BY THE SAME MIND WHICH CREATED THEM"