Prof. Kabudi: There is no one who know everything and there is no ine who is completely stupid...

Mohamed Abubakar

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2014
Posts
1,127
Reaction score
1,290
Maneno haya Prof Kabudi aliyasema kule Kenya ktk mkutano wa kuwaweka wakenya pamoja na kuwajuisha katika Madaraka kuwa "There Is No One Who Know Everything And There Is No one Who is completely stupid..." Maana ktk taifa lolote hakuna kabila, dhehebu au dini ambayo wanafahamu kila kitu na hivyo wanastahili kugawana vyeo. Bali pia hakuna kabila au dini ambapo wote ni wajinga na hivyo kutowafikiria katika teuzi, ajira nk

Ktk mkutano huo mkwe wetu mbunge Mh Joho alisema;

There is no loss or harm to inclusive Government.

Pamoja na kukosa mvuto wa 100% na CCM, lkn Prof Kabudi ananivutia sana.
Na kwa maoni yangu maneno ya Prof wa jalalani hayana tofauti na uoni wa Mh Mbowe anaesisitiza maridhiaro ya kitaifa.

Naamini hitajio la kwanza la Watanzania sio tume huru kama Mh Mnyika anavyotuaminisha, wala sio Katiba mpya, hitajio la watanzania ni kuona viongozi wako na willingness and attitude ya kuondoa aina zote za ubaguzi na kujengwa daraja wa kuwajumuisha watanzania wote ktk maamuzi ya nchi. Kikijitokeza chama chenye Sera hiyo: CCM hata waibe vipi hawatoweza nguvu ya wanaokandamizwa nchini. Au wakifanikiwa ujumbe utakuwa delivered kuwa sio kuwa tunahitaji kukaa meza moja na kugawana vyeo Bali tubahitaji kwa kugawana madaraka kati ya walionayo na wasionayo.

Watanzania tuhahitaji kuvuka hili; kutowaumiza wafanyabiashara kwa sababu ya majina yao kama matukio tutayoona yakiendelea na wenye mamlaka kwa kuwa waliofanya hayo wapo ndani ya mfumo wao, akaachwa tu bora hivi hivi bila kuwajibika....

Kenya wamemaliza mchakato huo - BBI.

Kwa CCM Prof Kabudi ndiye anayeewa hasa mahitaji halisi ya watanzania kwasasa kama vile Mh Mbowe kwa upande wa upinzani. Lkn wote hawatarajiwi kupeperusha Bendera za vyama vyao ktk kinyang'anyiro cha Urais.

Kama ilivyo Kenya mahitaji makuu ya Watanzania;

1. Hitajio la kujumuishwa ktk kuendesha Seikali;

2. Pili Maridhiano kati ya vyama.

Haya wameyafanya Wakenya na kufanikiwa. Kwani kabla ya hapo ni kabila moja tu ndilo lililohodhi nafasi nyingi za uteuzi na ajira za umma.

Kutokana na ubaguzi Leo matatizo wanayoyapata CHADEMA sasa zipo jamii walishanyiwa nusu karne sasa, na hawajapata watetezi rasmi.

Tunapoamua kutoyaongea matatizo yetu kama watanzania, hatutotatua tatizo zaidi tunayasogeza mbele.....
WaKenya waliamua kukaa mezani na kuyasema na kuyatafutia ufumbuzi.

Kenya waliachiwa tatizo la ukabila na wakoloni, Tz tuliachiwa tatizo la upendeleo la udini na wakoloni.

Ndio Prof Kabudi anasema

There Is No One Who Know Everything And There Is No one Who is completely stupid...

Na mbunge wa Mombasa mkwe watu Mh Joho alisema;

Mh Mbowe chukua hili na Fanya kuwa ndio ajenda kuu ya Chadema, na ikibidi mlete Prof Kabudi aitetee hoja hii, kwa kujiunga chama chako ili atupeperushie Bendera ya Chadema. Uwezo huo unao na sisi jamii tuliyobaguliwa tutaunga mkono.

Pitieni hapa kuna cha kujifunza.

Ndugu Maya wa New York City Mayor Bill de Blasio pia aliwahi kusema hivi akiashiria kuchukizwa aina zote za ubaguzi, alisema; "Attacking One Faith Is To Attach All People's Faith. Attacking One Ethnicity Is To Attach All People's ethnicities.
 
Hakuna ajuae kilakitu Ila kilamtu anajua kitu... Tushirikiane na kushirikishana kwa njia za kistaarabu. Mbowe wakati mwingine haongei vizuri Mara aseme hawezi kwenda ikulu kama anaenda kwa mchumba ... Sasa hizo si dharau hizo!?
Chadema asilani haitoshika nchi kitaibuka chama kingine madhubuti zaidi hawa wanachangamsha tuu nchi huwezi kuwapa nchi Mbowe,sugu,lema,kubenea,jacob,hauled,mdee,matiko,bulaya,heche,msigwa nk. iwapo uko timamu na usalama wa taifa wanalijua hilo
 
Statement za Kabudi siyo za kuamini sana mara nyingi huwa anazitoa bila kujua hata msimamo wake ni upi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata hivyo mini mwelekeo wetu kuelea uchaguzi mkuu 2020./

Ni katiba mpya ambayo ni vigumu mno kurekebishwa

Tume ya uchaguzi ambayo ndio tegemeo la ccm kupata ushindi

Vyama vijiegemeze kwenye makundi ya jamii yaliyoichoka ccm lkn hawajapata mbadala, yaani hakuna chama kibachowasemea kwa uwazi kuwa nyie mmebaguliwa na sisi tuko tayari kuondoa ubaguzi huo. Mfano ni kwasababu zipi jamii ya watz wenye asili ya asia hawapati teuzi ktk serikali za sisem, je kwasababu hawana weledi?!?! Na is complete stupid?!?!?! Sababu kuu tutaona ccm wanawabagua
 
Hakuna ajuae kilakitu Ila kilamtu anajua kitu... Tushirikiane na kushirikishana kwa njia za kistaarabu. Mbowe wakati mwingine haongei vizuri Mara aseme hawezi kwenda ikulu kama anaenda kwa mchumba ... Sasa hizo si dharau hizo!?
Chadema asilani haitoshika nchi kitaibuka chama kingine madhubuti zaidi hawa wanachangamsha tuu nchi huwezi kuwapa nchi Mbowe,sugu,lema,kubenea,jacob,hauled,mdee,matiko,bulaya,heche,msigwa nk. iwapo uko timamu na usalama wa taifa wanalijua hilo
Nimependa sentensi zako mbili za kwanza. Na nitaziiba......
 
Mohamed Abubakar ,

..Mwalimu Nyerere alihutubia Umoja wa mataifa wakati wa kudai uhuru na alisema.." sisi wananchi wa TANGANYIKA tunataka kuwasha MWENGE wa UHURU na kuuweka juu ya mlima Kilimanjaro umulike hata nje ya mipaka yetu na kuleta MATUMAINI pale ambapo hakuna matumaini, UPENDO pale penye chuki, na HESHIMA palipojaa dharau. "

..hiyo ndiyo nadhiri tuliyojiwekea wakati tunadai UHURU. Sasa wakati wote wa uhai wa taifa hili tunapaswa kujiuliza kama tunaiishi nadhiri hiyo.
 
Naunga mkono hoja, Prof Kabudi atalisaidia sana taifa.
Tusiendelee kumuita Prof jalalani, tangu kuanzishwa kwa chuo kikuu cha UDSM, kimewahi kutoa 1st Class ya GPA ya 4.9 moja tuu ya Kabudi na mpaka kesho record hiyo haijavunjwa!.

Hivyo huyu ni mtu kichwa sana, atalisaidia sana taifa.

P
 
Le Proffesery
 
Back
Top Bottom