RED: It says it All!!Mkuu nadhani tunafanya kosa kufikiri kwamba tunasoma sana ili tupate pesa au tuwe matajiri... Knowledge / Education is Power...., from your reasoning nikizaliwa mtoto wa tajiri na pesa zipo nyingi kwahiyo hakuna faida ya kusoma.... Binafsi mimi hata kama wangekuwa hawatoi vyeti bado ningesoma...., learning is just a tool you can use, and majority of people maisha yao yatakuwa dependable na employment and very soon degree alone itakuwa haitoshi...
I know there are even more Bill Gates (College Dropout); Richard Branson (GCSE)..., lakini ujue in getting money you need to be street smart as well, (and not having a certificate does not mean you are dumb), sasa its like you are saying sababu ngumi peke yake inatosha kupigana kwanini nijifunze karate...
You never know opportunity ikija soma...., ila ukikosa opportunity isiwe kigezo kwamba siwezi kufanikiwa sababu sijasoma
Jaribu kurudia taratibu kusoma walichoeleza wenzako utawaelewa , hawakatazi mtu kuenda kupata elimu, wanachosema ni kwamba watanzania walioengi wanasubiri mpaka wapata degree mbili ( masters) ndipo waingie kwenye ujasiia mali , mwanzilishi wa mjadara anajaribu kuwaasa vijana kubadili hivyo tabia , anasema hata kama una elimu ndogo kama hiyo uliyonayo unaweza kufanya ujasilia mali, akatoa mfano wake yeye kwamba katika masomo yote aliyosoma kwenye shahada ya kwanza ni masomo matatu tu ambayo amekuwa akiyatumia kwenye maisha yake.Nimesoma hoja zenu hazijanikaa vizuri pamoja na kuwa mie sio msomi. Pengine kutokuwa kwangu msomi ndo kumeniponza. Hivyo naamini kuwa msomi ana uwezo zaidi wa kupambanua mambo.... Kwa ujumla mie sikubaliani na mawazo kuwa huhitaji elimu kutoka.... Hata kina bill gates wana research centres ambamo wasomi ndio wanaofanya kazi na kuleta innovation kwenye industry.... Kisomo ni muhimu isipokuwa unahitaji kuwa "smart" na si kutumbukiza miguu kwa ndoo.
Jaribu kurudia taratibu kusoma walichoeleza wenzako utawaelewa , hawakatazi mtu kuenda kupata elimu, wanachosema ni kwamba watanzania walioengi wanasubiri mpaka wapata degree mbili ( masters) ndipo waingie kwenye ujasiia mali , mwanzilishi wa mjadara anajaribu kuwaasa vijana kubadili hivyo tabia , anasema hata kama una elimu ndogo kama hiyo uliyonayo unaweza kufanya ujasilia mali, akatoa mfano wake yeye kwamba katika masomo yote aliyosoma kwenye shahada ya kwanza ni masomo matatu tu ambayo amekuwa akiyatumia kwenye maisha yake.
kuna jambo umelizungumza kwamba shule inasaidia kuchanganua mambo vizuri ni kweli, lakini naomba nikusaidie kitu ambacho kimenisaidia mimi soma sana vitabu kama think and grow rich cha napolen hill, na the magic of thinking big na vinginevyo vitakusaidia sana.
mimi sina degree kila mwaka naahirisha ila baadhi ya wafanyakazi wangu wanadegee hivyo natumia degree zao kufanikisha ufanisi wa biashara, kwa hivyo kwangu mimi degree naiheshimu sana ila sina haraka ya kuipata kwa sasa nasoma na abe uk ,. sisomi ili niajiriwe labda katika sehemu hiyo nahisi napishana na mitazamo ya watanzania wenzangu wengi ambao wameaminishwa kwamba ili ufanikiwe unahitaji degree
true kabisa. Kusoma maandishi yanayaokufanya utafakari maendeleo yako, ujihoji, utafkari dunia kwa ujumla na nafasi yako. Pia humo unaweza gundua umuhimu wapesa nyingi vs umuhimu wa kuhudumia binadamu.
Vyeti nafasi yake ni kwenye proof kwa waajiri. Ila elimu umuhimu wake hauna kikomo. Sidhani kama kuna mtu anapoteza muda kusikiliza mawaidha/mafundisho darasani ni bora huyo kuliko anaeanza investment bila yeye mwenyewe kujiweka sawa psycholigicaly.
Habari wanajamvi!
My concern leo ni vikwazo vilivotawala vijana wa sasa eti mpaka wawe na Masters Degree ndio watoke kimaisha, matokeo yake wanatumia muda mwingi vyuoni badala ya kupractice kile kidogo walichosoma kwenye Degree ya kwanza ambapo napo nakumbuka ni topics 3 tu zinazo apply katika maisha yangu ya sasa nazo ni INVESTMENT PROJECTS, INFORMANTION SYSTEMS, STRATEGIC PLANNING, basi sasa ina maana gani kuendelea kupoteza muda vyuoni kwa miaka 3 - 4, badala ya kuingia mtaani na kufanya practical
Elimu ni kama chakula unakula na kukifanyia kazi chakula sio kulala!, Wazazi wetu na wazungu wametupachika mentality mbaya kusoma hadi level ya juu zaidi ili utoke huku wao wakitengeza pesa kupitia institutions zao, nikiuliza ni Professor gani hata mwenye chuo hakuna, wamiliki wote wa education institutions ni wafanyabiashara
Sasa basi kama wewe ni mzazi au Mwanafunzi unapenda ujasiriamali huhitaji hata Degree ili utoke what you need is Experience, Respect, Confidence and a coacher to tell you the business ways. Because most successful people in the world mfano Bill Gates, Mark Zuckerberg, Warren Buffett, Roman Abramovich, Bharesah (Azam) they did it without even a single degree. So you can make it big aswell dont get twisted utake kusoma hadi maPHD kwa kufata mkumbo tu, Make it your own way. Just be POSITIVE
Kama kuna mtu ana mawazo tofauti unakaribishwa!