Hata sayansi inaundwa na concept, hivo kwa logic hiyo unathibitisha uwepo wa mungu.Yeah.. mungu hana impact yoyote kwa binadamu.
Maana ni concept tu.
Kwanza, Science is not about random concepts ambazo hazipo empirical kama concept ya uungu.Hata sayansi inaundwa na concept, hivo kwa logic hiyo unathibitisha uwepo wa mungu.
It is a scientific fact kuwa kila kitu kina mwanzo. Sasa unaposema vilikuwepo tangu milele hio sio kweliHakuna kilichomkuta mwenzake.
Vyote kwa pamoja (Binadamu na ardhi) vilikuwepo, vipo na vitaendelea kuwepo milele.
Malaika wanatushangaa naniii aliewaambia hicho kitu mnakiita ndoa takatifu mbona sisi hatukijui 🤣🤣🤣Kujibana bana kote🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Utakuwa msiba mzito!
Kama kila kitu kina mwanzo eleza na thibitisha mwanzo wa kila kitu ni nini?It is a scientific fact kuwa kila kitu kina mwanzo. Sasa unaposema vilikuwepo tangu milele hio sio kweli
Hakuna maisha baada ya kufa, maisha yapo hapa, ukiwa hai. Tenda wema, ukiondoka watu wakukumbuke kwa wema. Ukitendewa ubaya, tafuta haki hapa, hakuna haki baada ya kufa. Ukifa, unaoza na kurutubisha ardhi kwa faida ya walio hai, kama ilivyo kwa any organism.
Huku wakimtumia faza Ibra kama mfano🤣🤣🤣Malaika wanatushangaa naniii aliewaambia hicho kitu mnakiita ndoa takatifu mbona sisi hatukijui 🤣🤣🤣
Take note 📌📌Hakuna maisha baada ya kufa, maisha yapo hapa, ukiwa hai. Tenda wema, ukiondoka watu wakukumbuke kwa wema. Ukitendewa ubaya, tafuta haki hapa, hakuna haki baada ya kufa. Ukifa, unaoza na kurutubisha ardhi kwa faida ya walio hai, kama ilivyo kwa any organism.
Concept ni abstract ideas(mawazo ya kufikirika, hivo mungu na science vyote ni zao la abstract idea.Kwanza, Science is not about random concepts ambazo hazipo empirical kama concept ya uungu.
Ni facts tu.
Anyways, tuseme Science ni concepts tu. Sasa hiyo inathibitishaje uwepo wa Mungu?
Aliyekufa na akarudi yupoDini ni njia, uislamu ni njia ukristo Pia ni njia.
Sasa Basi Dini zote zinakubali kuwa kuna Maisha baada ya kifo.
Ila ukitoa maandishi ambayo yameandikwa Karne Zaidi ya 23 zilizopita(Bible,Quran)
Hakuna ushahidi wa moja Kwa moja unaoonyesha Maisha baada ya kifo, bad thing is hakuna aliekufa akarudi.
Imani ni bora kuliko Dini.
Wewe amini unavyo amini.
Ila hakuna scientific evidence kuwa kuna Maisha baada ya kifo
Maisha baada ya kifo ni sawa na Maisha kabla ya kuzaliwa unajua ulikuwa wapi??
Then Ivo ndugu
Swali zuri sn.Kwa mantiki yako.
Kuna aja gani na faida gani ya kukumbukwa kwa hayo mema ikiwa hakuna maisha baada ya kifo, How hayo mema yanakuwa na faida kwako sasa???
Ni mtizamo tuHakuna maisha baada ya kufa, maisha yapo hapa, ukiwa hai. Tenda wema, ukiondoka watu wakukumbuke kwa wema. Ukitendewa ubaya, tafuta haki hapa, hakuna haki baada ya kufa. Ukifa, unaoza na kurutubisha ardhi kwa faida ya walio hai, kama ilivyo kwa any organism.