HOST NOT FOUND
JF-Expert Member
- Dec 30, 2023
- 1,186
- 3,479
Kama nimekufa basi Mimi ni Marehemu Babu Yako mzaa Babu yako.Kwanza naomba utuambie bila kutia shaka kama umekufa au uko hai ili tuweze kuendelea na maada ya msingi
Viumbe hai Vinakufa ,Naomba kuelimishwa, kama ardhi hurutubishwa na mizoga yetu watu tukizikwa,
vipi huko kwa Wahindi wanakochoma maiti ardhi yao ina rutuba au haina rutuba?
Vipi huko ambako miili ya wafu makaburi yao yana taizi ndani hadi nje ardhi zao zikoje?
Vipi ambako wanazika miili na inakutana na udongo kabisa je ardhi zao huwa hawahitaji mbolea ili kurutubisha?
Ni kweli mimea na wanyama kwa kufa na kuoza hufanya udogo kuwa na rutuba. Lakini si kweli kuwa miili ya watu iliyokufa ni lazima kwa kurutubisha udongo.Kuna miti inakufa ,inaoza ,nyasi pia zinaoza..
Zikioza zinaongeza rutuba kwenye ardhi.
Mwili kuchomwa moto haimanishi hautochangia kuongeza rutuba kwenye ardhi, Kwa kiumbe hai wa aina yeyote akichomwa moto, mabaki yake (majivu) huongeza rutuba kwenye ardhi.
Pia ardhini Kuna viumbe hai wanaoishi ndani yake. Na hawaishi milele, kifo hatima ya kila kiumbe kinachoishi.
Tulidanganywa kuwa kuna maisha baada ya kifo ili kututushia tukubaliane na dini zao. Na wanyama na vyote vyenye uhai vina maisha baada ya kifo? Anyone who thinks that there's life after death is a crime.Hakuna maisha baada ya kufa, maisha yapo hapa, ukiwa hai. Tenda wema, ukiondoka watu wakukumbuke kwa wema. Ukitendewa ubaya, tafuta haki hapa, hakuna haki baada ya kufa. Ukifa, unaoza na kurutubisha ardhi kwa faida ya walio hai, kama ilivyo kwa any organism.
Yeah.. mungu hana impact yoyote kwa binadamu.The same kwa binadamu.
Anaweza kuishi hata bila msaada wa Mungu, binadamu amekuwepo kabla ya Mungu.
Mungu akimsaidia atakufa hata asipo msaidia atakufa vile vile
Umeandika kama mmisionari mzungu anayewashawishi babu zetu wawe wakristu ilhali wazungu wenzake wanawanyonga kwa kugoma kulima mazao ya biashara.Mwamini Yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yako, naye atakufufua siku ya mwisho, tenda mema uwezavyo na kuzishika amri za Mungu.
Ni kweli mimea na wanyama kwa kufa na kuoza hufanya udogo kuwa na rutuba. Lakini si kweli kuwa miili ya watu iliyokufa ni lazima kwa kurutubisha udongo.
Sababu ardhi haitegemei binadamu.
Aidha, unapochoma miili ya watu iliyokufa; au mimea au miili ya wanyama waliokufa unaharibu mchakato wa kuoza ambao unatengeneza rutuba kwenye ardhi.
Hata ukichoma moto rutuba inatengenezeka ila ubaya wa kuchoma moto, unaharibu makazi ya viumbe ambavyo vinasaidia mchakato wa kuoza .Ni kweli mimea na wanyama kwa kufa na kuoza hufanya udogo kuwa na rutuba. Lakini si kweli kuwa miili ya watu iliyokufa ni lazima kwa kurutubisha udongo.
Sababu ardhi haitegemei binadamu.
Aidha, unapochoma miili ya watu iliyokufa; au mimea au miili ya wanyama waliokufa unaharibu mchakato wa kuoza ambao unatengeneza rutuba kwenye ardhi.
Does plants and animals think?Tulidanganywa kuwa kuna maisha baada ya kifo ili kututushia tukubaliane na dini zao. Na wanyama na vyote vyenye uhai vina maisha baada ya kifo? Anyone who thinks that there's life after death is a crime.
Tulidanganywa kuwa kuna maisha baada ya kifo ili kututushia tukubaliane na dini zao. Na wanyama na vyote vyenye uhai vina maisha baada ya kifo? Anyone who thinks that there's life after death is a crime.
They do not.Does plants and animals think?
You've been used, also been misused, equally been abused, now you're confused.Hakuna maisha baada ya kufa, maisha yapo hapa, ukiwa hai. Tenda wema, ukiondoka watu wakukumbuke kwa wema. Ukitendewa ubaya, tafuta haki hapa, hakuna haki baada ya kufa. Ukifa, unaoza na kurutubisha ardhi kwa faida ya walio hai, kama ilivyo kwa any organism.
Usichokijua ni kwamba ukristo ulienea kwa baadhi ya nchi za kiafrika hata kabla ya nchi za ulaya, na umisionari ulikua haujafikiriwa kuanzishwa.Umeandika kama mmisionari mzungu anayewashawishi babu zetu wawe wakristu ilhali wazungu wenzake wanawanyonga kwa kugoma kulima mazao ya biashara.
Here he said "...Na wanyama na vyote vyenye uhai vina maisha baada ya kifo?".They do not.
But Where he said that plants and animals have thinks?
Nimewahi kuona mara kadhaa miaka hiyo kijijini ilikuwa mzoga wa mbwa tukienda kuutupa mbali na makaazi sehemu ambayo tumemtupa ardhi nyasi zake huwa njano na kuharibika,Viumbe hai Vinakufa ,
Viumbe hai Vikifa vinaoza,
Vikioza ni rutuba Kwa ardhi .
Je, kiumbe hai ni binadamu tu huko India?
we umejuaje mkuu au ni imani yako tu kama ilivyo kwa wengine wanavyoamini kwamba kuna maisha baada ya kifo. Hii ni siri hakuna ajuaye baada ya kifo kuna ninHakuna maisha baada ya kufa, maisha yapo hapa, ukiwa hai. Tenda wema, ukiondoka watu wakukumbuke kwa wema. Ukitendewa ubaya, tafuta haki hapa, hakuna haki baada ya kufa. Ukifa, unaoza na kurutubisha ardhi kwa faida ya walio hai, kama ilivyo kwa any organism.
Wachawi wanasemaje kwani? and unajua nguvu ya Ubani ukichomwa? kaulize waganga na Waroman na Waislam wakipiga chechezoHakuna maisha baada ya kufa, maisha yapo hapa, ukiwa hai. Tenda wema, ukiondoka watu wakukumbuke kwa wema. Ukitendewa ubaya, tafuta haki hapa, hakuna haki baada ya kufa. Ukifa, unaoza na kurutubisha ardhi kwa faida ya walio hai, kama ilivyo kwa any organism.
KashesheHakuna maisha baada ya kufa, maisha yapo hapa, ukiwa hai. Tenda wema, ukiondoka watu wakukumbuke kwa wema. Ukitendewa ubaya, tafuta haki hapa, hakuna haki baada ya kufa. Ukifa, unaoza na kurutubisha ardhi kwa faida ya walio hai, kama ilivyo kwa any organism.
KWANI WAPI WANASEMA KUNA MAISHA BAADA YA KIFO?Hakuna maisha baada ya kufa, maisha yapo hapa, ukiwa hai. Tenda wema, ukiondoka watu wakukumbuke kwa wema. Ukitendewa ubaya, tafuta haki hapa, hakuna haki baada ya kufa. Ukifa, unaoza na kurutubisha ardhi kwa faida ya walio hai, kama ilivyo kwa any organism.