Mtu mbalimbali
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,055
- 2,133
Uhalisia ni upi hapo?Hakuna kilichomkuta mwenzake.
Vyote kwa pamoja (Binadamu na ardhi) vilikuwepo, vipo na vitaendelea kuwepo milele.
Maisha yapo baada kifo. Nakuomba na nakusihii hiyo Imani achana nayo. Maisha yapo baada kifo mkuu. Nina ushaidiHakuna maisha baada ya kufa, maisha yapo hapa, ukiwa hai. Tenda wema, ukiondoka watu wakukumbuke kwa wema. Ukitendewa ubaya, tafuta haki hapa, hakuna haki baada ya kufa. Ukifa, unaoza na kurutubisha ardhi kwa faida ya walio hai, kama ilivyo kwa any organism.
lete huo ushahidi sasaMaisha yapo baada kifo. Nakuomba na nakusihii hiyo Imani achana nayo. Maisha yapo baada kifo mkuu. Nina ushaidi
Umelazimiswha kuamini? Huu ni upumbavu wa kutaka misimamo yenu kila mtu aifuate huu upumbavu acheni mara moja mnakeraHakuna maisha baada ya kufa, maisha yapo hapa, ukiwa hai. Tenda wema, ukiondoka watu wakukumbuke kwa wema. Ukitendewa ubaya, tafuta haki hapa, hakuna haki baada ya kufa. Ukifa, unaoza na kurutubisha ardhi kwa faida ya walio hai, kama ilivyo kwa any organism.
Acha kupotosha jamii kwa makusudi. Kuna watu wanaishi huku wamekufa na kuna wafu walio hai ila wanataraji kwenda kuishi baadaye. So kupanga ni kuchagua.Hakuna maisha baada ya kufa, maisha yapo hapa, ukiwa hai. Tenda wema, ukiondoka watu wakukumbuke kwa wema. Ukitendewa ubaya, tafuta haki hapa, hakuna haki baada ya kufa. Ukifa, unaoza na kurutubisha ardhi kwa faida ya walio hai, kama ilivyo kwa any organism.
Tupe huo ushahidi basiMaisha yapo baada kifo. Nakuomba na nakusihii hiyo Imani achana nayo. Maisha yapo baada kifo mkuu. Nina ushaidi
Watu walio makaburini wanarutubishaje ardhi?Hakuna maisha baada ya kufa, maisha yapo hapa, ukiwa hai. Tenda wema, ukiondoka watu wakukumbuke kwa wema. Ukitendewa ubaya, tafuta haki hapa, hakuna haki baada ya kufa. Ukifa, unaoza na kurutubisha ardhi kwa faida ya walio hai, kama ilivyo kwa any organism.
Naomba kuelimishwa, kama ardhi hurutubishwa na mizoga yetu watu tukizikwa,Hakuna maisha baada ya kufa, maisha yapo hapa, ukiwa hai. Tenda wema, ukiondoka watu wakukumbuke kwa wema. Ukitendewa ubaya, tafuta haki hapa, hakuna haki baada ya kufa. Ukifa, unaoza na kurutubisha ardhi kwa faida ya walio hai, kama ilivyo kwa any organism.
Mkuu kwani unavyojua wewe aridhi huwa ina rutubishwa na nini ?Naomba kuelimishwa, kama ardhi hurutubishwa na mizoga yetu watu tukizikwa,
vipi huko kwa Wahindi wanakochoma maiti ardhi yao ina rutuba au haina rutuba?
Vipi huko ambako miili ya wafu makaburi yao yana taizi ndani hadi nje ardhi zao zikoje?
Vipi ambako wanazika miili na inakutana na udongo kabisa je ardhi zao huwa hawahitaji mbolea ili kurutubisha?
Kuna miti inakufa ,inaoza ,nyasi pia zinaoza..Ardhi hahitaji miili iliyokufa kwa ajili ya rutuba.
Ardhi ipo kabla ya binadamu kuwepo.
Miili iliyokufa inaweza badala ya kuzikwa ikachomwa moto, na ardhi itakuwa na rutuba
Hakuna anayeishi huku amekufaAcha kupotosha jamii kwa makusudi. Kuna watu wanaishi huku wamekufa na kuna wafu walio hai ila wanataraji kwenda kuishi baadaye. So kupanga ni kuchagua.
Toa huo ushahidi , usicomand watu waamini.Maisha yapo baada kifo. Nakuomba na nakusihii hiyo Imani achana nayo. Maisha yapo baada kifo mkuu. Nina ushaidi
Dunia hii ni kubwa kaka. Kuna watu 8 billion. Kila MTU Ana neema yake. Hatufanani. Kujifunza ni jambo muhimu sana. Kwanini nikudanganye kwamba hakuna maisha banda ya kifo. Ili iweje. Sina muda huo. Ila nakusahihisha tu kwamba yapo maisha baada ya kifo. Nina ushahidi wawazi kabisa. Ni hatari sana kuishi unavyoishi. Ipo siku utakufa utaona lakini utakuwa umechelewaToa huo ushahidi , usicomand watu waamini.
Neno Imani lenyewe linatafsiriwa kimakosa.
Unakuaje na bayana ya mambo usiyoyaona?
Shirikisha umma ushahidi wako.Dunia hii ni kubwa kaka. Kuna watu 8 billion. Kila MTU Ana neema yake. Hatufanani. Kujifunza ni jambo muhimu sana. Kwanini nikudanganye kwamba hakuna maisha banda ya kifo. Ili iweje. Sina muda huo. Ila nakusahihisha tu kwamba yapo maisha baada ya kifo. Nina ushahidi wawazi kabisa. Ni hatari sana kuishi unavyoishi. Ipo siku utakufa utaona lakini utakuwa umechelewa
Kwanza naomba utuambie bila kutia shaka kama umekufa au uko hai ili tuweze kuendelea na maada ya msingiHakuna anayeishi huku amekufa
Hakuna aliyekufa mwenye matarajio.
Au Wafu Gani hao wanaoishi?
Wanaishi wapi?
Thibitisha.🥱
Lete huo ushahidi.Maisha yapo baada kifo. Nakuomba na nakusihii hiyo Imani achana nayo. Maisha yapo baada kifo mkuu. Nina ushaidi
bro naweza pata no zako?Do you know anything about rebirth? And reincarnation?