maurice bernad
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 314
- 213
Teh teh unaweza kufa anytime,kujituma akukuongezei mda wa kuishi mkuu mambo ni kaz na dawaa
Utajenga life ukifa unawafaidisha wengne
Utajenga life ukifa unawafaidisha wengne
asanteInabidi uangalie movie inaitwa " The late bloomer"
kwa kweliSex kwanza,mengine baadae...
Sorry sir...are you a human being??? basi ungesema waiweke bidii hiyo hiyo katika kazi...ila co ku-criticise sex bruh that's a natural thing...sidhani hata wewe leo hii "jogoo" liwe halipandi mtungi usiharibike kisaikolojia na uendelee kufanya kazi vizuri....Nimekua nikiona na kushangaa sana jinsi vijana sasa tulivo desparate kulast kwenye 6*6 kuliko kulast kazin.
-Vijana wako in research kuongeza nguvu za kiumeni kuliko hata wazee.
-Kijana anajituma kingono kumridhisha mwanamke ambaye hana hakika hata ya kumuoa kuliko anavojituma kwenye kibarua kinachompa kula.
Siku izi ikitokea mtoto wa kike akikutunuku na wewe ukawa hauko interest wenzio wanakuona unakasoro. Kwa nini upewe ukatae. Kwa nini unakataa chakula..
My call kwa vijana wenzangu (Boys). Let sex be just a thing. Focus on important aspects of your life. Ngono ilikuepo ipo na itakuepo ila maisha ni Mara moja na hayana repeat button. Ukicheza mistake unaweza ukajikuta position mbaya sana.
![]()
Wanawake warembo wapo na watazidi kuwepo. Sikiliza kichwa chako chenye ubongo na si kile kingine.
My point was to not over depending on it. Kuna watu sex imekua basic needSorry sir...are you a human being??? basi ungesema waiweke bidii hiyo hiyo katika kazi...ila co ku-criticise sex bruh that's a natural thing...sidhani hata wewe leo hii "jogoo" liwe halipandi mtungi usiharibike kisaikolojia na uendelee kufanya kazi vizuri....
Inabidi uangalie movie inaitwa " The late bloomer"
Too bad sikutunuku mkuu!!!kwa hii avatar yako nakuhakikishia ukinitunuku nazama hadi uvinza,,hata tako ntalamba
Too bad sikutunuku mkuu!!!