There is more to life than sex

There is more to life than sex

Ipo siku atajilaumu kwanini hakugegeda mademu wengi akiwa kijana.Wakati huo atakuwa anatakiwa afe na aache mali zooote alizohangaika kuzitafuta akajinyima kugegeda,kwani atakua ni mzee sana.
 
Katka jambo ambalo siwazi ni kumridhisha mwanamke me naangaliaga upande wangu tu naondoka na hii imekuja baada ya kugundua kwamba hata nifanye vp siwezi kumridhisha
 
Nyie ndio mnakufaga depression.. Maisha hayaitaji usiriazi huo unaoutaka mtoa post. Fanya kila kitu.. fanya kazi effectively, have fun effectively,...
 
Katika naisha kuna mambo huwezi kuyatenganisha kamwe kwani kwa kuyatenganisha utakuwa umekosea sana.

Nikijikita kwenye mada naona ni KAZI vs MAPENZI.
Mleta anakosoa kipaumbele cha MAPENZI KWANZA KAZI BAADAE na kuwaasa vijana hao kubadili kipaumbele hicho na kiwe KAZI KWANZA MAPENZI BAADAE.
Kimsingi mleta mada yupo sahii kwa upande wake na wachangiaji wengine watakua sahii kwa upande wao lakini yatupasa kuangalia nani yupo sahii zaidi japo kila mtu anakipaumbele chake.
Ili kujua nani yupo sahii zaidi yatupasa kuangalia sababu zinazopolekea mtoa mada kufikiri namna anavyofikiri na wanaompinga kujua pia sababu zinazopelekea kesema hivyo wasemavyo.
Wito wangu hii mada ipanuke na kuwa debate ambayo kila upande utatoa sababu za kimsingi za kuamini hicho kinachoamini na wala si kitupiana lawama.
Nawakilisha.
 
Kazi bila sex haina maana bro! kazi bila sex ni kama uko jela unatumikishwa bure. Nafanya kazi ili nipate uhakika wa ngono nzuri, upo?
 
Focus on what you see fit mkuu

Kama kwako kazi ni tamu kuliko sex so be it, komaa na kazi zakoo

Ila hii vita ulioianzisha sidhani kama utapata wanajeshi wa kutosha, sex rules the world... Au hukumuona waziri wa Congo akipiga nyeto ofisini?????

There is more to see than what meets the eye kaka
 
Mkuu kazi zipo tu na Sex ipo tu..kila kitu na muda wake..
Exactly my point.
The problem ni kwamba kuna watu wako radhi waombe udhuru makazini wakaHave sex. Mtu anasema anaumwa lakini badae unaskia kafumwa Guest
 
Ipo siku atajilaumu kwanini hakugegeda mademu wengi akiwa kijana.Wakati huo atakuwa anatakiwa afe na aache mali zooote alizohangaika kuzitafuta akajinyima kugegeda,kwani atakua ni mzee sana.
Mkuu kuna starehe nyingi sana tofauti na kugegedana. In fact ukikaa na rafiki zako chuja wenye maendeleo na wale wanywa kahawa alafu cheki wapi wanawaxa kukunjana all the time.
Yani sisi vijana ambao "angakaaanga juu ya jiwe" ndo kila saa akili zinawaza kulimana tuu
 
Katka jambo ambalo siwazi ni kumridhisha mwanamke me naangaliaga upande wangu tu naondoka na hii imekuja baada ya kugundua kwamba hata nifanye vp siwezi kumridhisha
Hehe kaka kuna rafiki angu anasema, ukiona unawaza kumridhisha mwanamke we ni mtumwa. Mwanamke ndo anatakiwa awaze kukuridhisha wewe
 
Nyie ndio mnakufaga depression.. Maisha hayaitaji usiriazi huo unaoutaka mtoa post. Fanya kila kitu.. fanya kazi effectively, have fun effectively,...
You cant have 50 50 in life. You have to choose to do one thing more than others. Choose wisely
 
Katika naisha kuna mambo huwezi kuyatenganisha kamwe kwani kwa kuyatenganisha utakuwa umekosea sana.

Nikijikita kwenye mada naona ni KAZI vs MAPENZI.
Mleta anakosoa kipaumbele cha MAPENZI KWANZA KAZI BAADAE na kuwaasa vijana hao kubadili kipaumbele hicho na kiwe KAZI KWANZA MAPENZI BAADAE.
Kimsingi mleta mada yupo sahii kwa upande wake na wachangiaji wengine watakua sahii kwa upande wao lakini yatupasa kuangalia nani yupo sahii zaidi japo kila mtu anakipaumbele chake.
Ili kujua nani yupo sahii zaidi yatupasa kuangalia sababu zinazopolekea mtoa mada kufikiri namna anavyofikiri na wanaompinga kujua pia sababu zinazopelekea kesema hivyo wasemavyo.
Wito wangu hii mada ipanuke na kuwa debate ambayo kila upande utatoa sababu za kimsingi za kuamini hicho kinachoamini na wala si kitupiana lawama.
Nawakilisha.
Kaka labda nimewasilisha vibaya ila mi nilikua nazungumzia majukumu kwa ujumla vs Sex (Ngono)
 
Kila kitu kiwe na kiasi nafikiri lakini pia lazima kuna kimoja utakipa kipaumbele huwezekani ukaendekeza mapenzi na sex mpaka ukaaribu kazi while hiyo kazi ndo iliokupatia huyo mwanamke maana ungekuwa kapuku hata usingekuwa nae mimi nimemwelewa sana mtoa mada uendekeze papuchi mpaka ukute kazi hufanyi vizuri au unaacha vimeo kazini unakimbilia ngono
 
Back
Top Bottom