There is more to life than sex

There is more to life than sex

Nimekua nikiona na kushangaa sana jinsi vijana sasa tulivo desparate kulast kwenye 6*6 kuliko kulast kazin.

-Vijana wako in research kuongeza nguvu za kiumeni kuliko hata wazee.

-Kijana anajituma kingono kumridhisha mwanamke ambaye hana hakika hata ya kumuoa kuliko anavojituma kwenye kibarua kinachompa kula.

Siku izi ikitokea mtoto wa kike akikutunuku na wewe ukawa hauko interest wenzio wanakuona unakasoro. Kwa nini upewe ukatae. Kwa nini unakataa chakula..

My call kwa vijana wenzangu (Boys). Let sex be just a thing. Focus on important aspects of your life. Ngono ilikuepo ipo na itakuepo ila maisha ni Mara moja na hayana repeat button. Ukicheza mistake unaweza ukajikuta position mbaya sana.

083ef1a25c6f667eb8402cc4226ca351.jpg

Wanawake warembo wapo na watazidi kuwepo. Sikiliza kichwa chako chenye ubongo na si kile kingine.
Ushauri mzuri sana huu...halafu nahisi kama huu ushauri unawafaa zaidi watu weusi.

Katika wosia kama huu huwa namkumbuka

Cc: KikulachoChako
 
Kila kitu kiwe na kiasi nafikiri lakini pia lazima kuna kimoja utakipa kipaumbele huwezekani ukaendekeza mapenzi na sex mpaka ukaaribu kazi while hiyo kazi ndo iliokupatia huyo mwanamke maana ungekuwa kapuku hata usingekuwa nae mimi nimemwelewa sana mtoa mada uendekeze papuchi mpaka ukute kazi hufanyi vizuri au unaacha vimeo kazini unakimbilia ngono
Exactly my point.
Kuna watu maofisini akiongezwa memba wa kike tu tayari ni kosa. Watu wanaanza show off wanasahau kazi.
Kuzoea zoea watu utazoea majini.
 
Dah never seen a post like that mkuu tangu nimeingia jf safi sana kwa ushauri mzuri;
The thing is: Ngono inaweza kubaki kuchukua sehemu kubwa ya akili ya mwanaume haina shida kwani wanaume tunaridhishwa kingono hata akili zetu hukaa na kufikiria ya msingi, ila kosa la vijana ni kutoridhika na mpenzi mmoja, unakuta kila siku mtu anachukua no ya mdada anayekutana kutokana na umbile lake rangi au nywele hivyo kujikuta na wanawake wengi na hapo ndo yalazimu kutawanya pesa nyingi kuwahudumia hivyo wote hutowakidhi kimahitaji na utajikuta wanasepa wote....ila mi naamini wanaume tukiwa na mpenzi MMOJA TU na hata yeye akajua hilo kwa maana haoni mazingira ya kumsaliti nae atakuwa huru kukupa sex anytime na by default atakuwa anataa msex kila leo maana nafsi yake inakuwa inakufurahia na hakika kwa mmoja hutoshindwa kumudu kumhudumia. Sex hamu yake yatoka ktk akili na saikolojia kwa ujumla, kama wanaume tukiwa na mmoja tu(mke, mchumba au mpenzi) wako tu hakika tutapaga sex mpaka basi maana unapokuwa mwema kwa mwenzi wako kujali majukumu yetu kama vidume ktk familia mwanamke atakuwa na amani na amani ya mwanamke atakuwa anataka sex tu. Tukitimiza hilo tu wanaume tutakuwa viumbe wenye amani kuliko viumbe wengine woote wataambao juu ya nchi, warukao angani na walio chini ya bahari
 
Weee sex ni hatari aise, usifananishe sex na vitu vya kipumbavu pumbavu
 
Kama una matatizo ya nguvu za kiume lazima utachukia tu sex
Kazi ipo siku zote
 
Nimekua nikiona na kushangaa sana jinsi vijana sasa tulivo desparate kulast kwenye 6*6 kuliko kulast kazin.

-Vijana wako in research kuongeza nguvu za kiumeni kuliko hata wazee.

-Kijana anajituma kingono kumridhisha mwanamke ambaye hana hakika hata ya kumuoa kuliko anavojituma kwenye kibarua kinachompa kula.

Siku izi ikitokea mtoto wa kike akikutunuku na wewe ukawa hauko interest wenzio wanakuona unakasoro. Kwa nini upewe ukatae. Kwa nini unakataa chakula..

My call kwa vijana wenzangu (Boys). Let sex be just a thing. Focus on important aspects of your life. Ngono ilikuepo ipo na itakuepo ila maisha ni Mara moja na hayana repeat button. Ukicheza mistake unaweza ukajikuta position mbaya sana.

083ef1a25c6f667eb8402cc4226ca351.jpg

Wanawake warembo wapo na watazidi kuwepo. Sikiliza kichwa chako chenye ubongo na si kile kingine.
Aisee naomba
niwerafiki yako coz:you have something to add in my life
 
Back
Top Bottom