There is more to life than sex

There is more to life than sex

mwanaMtata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2014
Posts
2,393
Reaction score
1,433
Nimekua nikiona na kushangaa sana jinsi vijana sasa tulivo desparate kulast kwenye 6*6 kuliko kulast kazin.

-Vijana wako in research kuongeza nguvu za kiumeni kuliko hata wazee.

-Kijana anajituma kingono kumridhisha mwanamke ambaye hana hakika hata ya kumuoa kuliko anavojituma kwenye kibarua kinachompa kula.

Siku izi ikitokea mtoto wa kike akikutunuku na wewe ukawa hauko interest wenzio wanakuona unakasoro. Kwa nini upewe ukatae. Kwa nini unakataa chakula..

My call kwa vijana wenzangu (Boys). Let sex be just a thing. Focus on important aspects of your life. Ngono ilikuepo ipo na itakuepo ila maisha ni Mara moja na hayana repeat button. Ukicheza mistake unaweza ukajikuta position mbaya sana.

083ef1a25c6f667eb8402cc4226ca351.jpg

Wanawake warembo wapo na watazidi kuwepo. Sikiliza kichwa chako chenye ubongo na si kile kingine.
 
Focus on what you see fit mkuu

Kama kwako kazi ni tamu kuliko sex so be it, komaa na kazi zakoo

Ila hii vita ulioianzisha sidhani kama utapata wanajeshi wa kutosha, sex rules the world... Au hukumuona waziri wa Congo akipiga nyeto ofisini?????
 
Nimekua nikiona na kushangaa sana jinsi vijana sasa tulivo desparate kulast kwenye 6*6 kuliko kulast kazin.

-Vijana wako in research kuongeza nguvu za kiumeni kuliko hata wazee.

-Kijana anajituma kingono kumridhisha mwanamke ambaye hana hakika hata ya kumuoa kuliko anavojituma kwenye kibarua kinachompa kula.

Siku izi ikitokea mtoto wa kike akikutunuku na wewe ukawa hauko interest wenzio wanakuona unakasoro. Kwa nini upewe ukatae. Kwa nini unakataa chakula..

My call kwa vijana wenzangu (Boys). Let sex be just a thing. Focus on important aspects of your life. Ngono ilikuepo ipo na itakuepo ila maisha ni Mara moja na hayana repeat button. Ukicheza mistake unaweza ukajikuta position mbaya sana.

083ef1a25c6f667eb8402cc4226ca351.jpg

Wanawake warembo wapo na watazidi kuwepo. Sikiliza kichwa chako chenye ubongo na si kile kingine.
POINT
 
Well said mkuu.
 
Back
Top Bottom