Theodore Bagwell (T-Bag) is back

Mkuu kama utaona kudownload inakuwa ni ishu kwako tuwasiliane nitakupa series nyingine kama AMERICAN DAD, CALIFORNICATION, HUMAN TARGET, NIKITA, SHAMELESS US, SPARTACUS, VAMPIRE DIARIES na nyingine nyingi

Mkuu hebu nipe hints za hii Californication, huwa nairuka, vp ni drama, action or jst thriller?
 
Mkuu tafuta Vampires Diaries ni nzuri sana, ukihitaji series ambazo zitakufanya ucheke siku yako ikiwa mbaya angalia SHAMELESS US na CALIFORNICATION

Ongeza na The V na ukitaka kucheka basi kuna Are We there Yet na Everybody hates Chris.
 
Mkuu hebu nipe hints za hii Californication, huwa nairuka, vp ni drama, action or jst thriller?
Ni mchanganyiko wa drama na Comedy iangalie utacheka sana mkuu ila SHAMELESS US ndio nimecheka hadi basi nasubiria kuangalia Season 2
 
T Bag ni mkali yuko pia katia movie ya The Storm anatisha Asante kwa kutupatia hiyo link ili tu download
 
Mkuu ukihitaji tunaweza kuwasiliana nikakupatia maana ku-download inaweza kuwa ishu

hi, nami ni mtumwa wa American series! Nimeona 24, PB, the unit, lost, heroes, supernatural, of, desperate hws, and brotherhood. Nahitaji others, shida niko mikoani how can I get them! I am willing to pay for gharama za kutuma pia.
 
Back
Top Bottom