Then and Now.

Hiyo picha ya pili hayo matiti na hilo tumbo kama sura ya kambale
 
Comando John kazeeka.

hahaha komando kipensi.ila si wanadai uzee mwisho ubungo maziwa.age mates wake wote wanazeeka siku hizi.rambo, dolf lundgren ,"b.o.l.o" yang,van dame,jack chain, wesley snipe,bruce willis and many more.ila fahamu tu ngo'mbe hazeeki maini, ukitaka kujua hawa jamaa kwenye action movies hawana mpinzani,pamoja na umri kuwatupa,wacheki kwenye expandables.
 

Ndio kaka, Expandables mi nimeiona moja tu mwaka juzi. Ngoja nizitafute nyingine, Ziko ngapi? Hao uliowataja ndio tuliokuwa tunawaangalia kwenye video casset enzi hizo, sio movie za siku hizi za kina Ray Kigosi michosho mitupu.
 
kaeni mkao wa kula terminator namba tano yaja kasema ndio ya mwisho kwake anord
 
Ndio kaka, Expandables mi nimeiona moja tu mwaka juzi. Ngoja nizitafute nyingine, Ziko ngapi? Hao uliowataja ndio tuliokuwa tunawaangalia kwenye video casset enzi hizo, sio movie za siku hizi za kina Ray Kigosi michosho mitupu.
Expendables 2 & 3
 
U-seneta ulimstarehesha sana, pia umri umekata, lakini bado yuko vizuri kwa umri wake.
 
Ndio kaka, Expandables mi nimeiona moja tu mwaka juzi. Ngoja nizitafute nyingine, Ziko ngapi? Hao uliowataja ndio tuliokuwa tunawaangalia kwenye video casset enzi hizo, sio movie za siku hizi za kina Ray Kigosi michosho mitupu.

umenikumbusha enzi za mabanda ya video miaka ya 90 hahaha.kuhusu expendables ,kuna mdau hapo juu kamaliza kila kitu,zitafute.zimejaa tele,za kudownload na za kwenye DVDs.
 
Matokeo ya kupiga chuma huku unakunywa vidonge/kuchoma sindano, ukiacha inakuwa hivyo
 
umenikumbusha enzi za mabanda ya video miaka ya 90 hahaha.kuhusu expendables ,kuna mdau hapo juu kamaliza kila kitu,zitafute.zimejaa tele,za kudownload na za kwenye DVDs.

Ndio miaka hiyo tunaangalia movie kwa sh 50, alafu kulikuwa na watu wanajifanya wao ndo wanajua kila kitu kwenye movie. Utakuta mtu anakutafsiria wakati kimombo hajui,na kukuelezea movie kuanzia mwanzo hadi mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…