Wahenga walisema "mgaa gaa na upwa hali wali mkavu",vuta subira muda si muda utatimiziwa haja ya roho yako.
unajua nilipoanzia?
Wahenga walisema "mgaa gaa na upwa hali wali mkavu",vuta subira muda si muda utatimiziwa haja ya roho yako.
kweli sijui! mapenzi yana safari ndefu angalau hiki nakijua!
sasa mi huwa sina cha kuogopa kaka..wewe mvagae Arabela ana malove ya ukweli..
kuna jamaa anaitwa zubedayo, alipigwa chini..
sasa endapo utakubaliwa lazma uwe mpole na usiwe na kuhangaika kwingi,..