The World's Top 100 Airlines in 2015, ATCL haipo

The World's Top 100 Airlines in 2015, ATCL haipo

Fastjet analeta Embraer 190 hapo atawabana mbavu jamaa zetu PW na ATC kwenye viwanja vidogo vidogo eg. Bukoba, mtwara na sasa DODOMA patamu hapo
 
Leo nilikuwa napitia huko Google nikakutana na list hii The World's Top 100 Airlines for 2015
elimu yako ulipata mwaka gani.hivi unataka kujifananisha kwa haraka na na kampuni kubwa zilizo tajwa ambazo zina ndege zaidi ya 100.kuna mambo mengine ukiwa unalopoka kaa tafakari,wewe unataka tanzania ukuwe maenedeleo kwa miujiza na siasa za kila siku kulalamika na lawama.acha kupotosha watu.
 
ATCL oyeeee. Kaphulila Safiiii. Ingependeza apewe uenyekit wa Bodi.
 
Back
Top Bottom