The World's Top 100 Airlines in 2015, ATCL haipo

The World's Top 100 Airlines in 2015, ATCL haipo

Ndo kwanza ndege mbili
.....mwaka 2020 atcl chini ya magu itakuwepo
 
Dah si ndio kwanza mtoto kazaliwa hata meno hajaota unataka awe anakula muwa?
Wajameni hiyo si first degree murder?
 
ATCL itatoka wapi kwenye top 100 na midege yote mibovu ?
nchi gani wataamini
kupanda hiyo miskrepa !
hawajipendi?
acha dharau wewe, ndege zina ubovu gani? hujawahi kupanda hata YUTONG unadai ndege mbovu, hivi nyie Wahaya sifa hizi mnazitoa wapi?
 
Dharau mnayo nyie mnaonunua malonya ya midege kwa Kodi zetu,mpaka aliyewauzia anabadilisha mikaratasi na maandishi !
Hamuiishii kwe miskrepa hiyo tu,na mnywa sumu wenu,ana nunua miskrepa ya mibehewa na mibichwa mibovu ya treni ! Nani anadhrau kama sio wewe na ccm yako ?
 
Kweli kabisa mkuu ulikuwa na uhakika wa kuipata kabisa kwenye 100 labda kama ni 100000
 
Wakati wa ATCL kuwepo katika best 100 ukifika basi itakuepo, msitake ianze mwaka huu na kuingia best 100 za dunia hiyo ni ndoto.
Maendeleo huja taratibu na kwa kuthubutu, watu mlibeza sana hizi ndege kununuliwa, japo tuliumia kiuchumi ila kama nchi tulipaswa kua na ndege zetu hakuna namna.
Najua siku moja ATCL itapiga hatua na kuwepo katika hizi orodha zenu za Google.
 
ATCL, ilipata fursa nzuri huko nyuma wakati mazingira yalikuwa bado mazuri lakini walichezea hiyo fursa.

Sasa kwa hizi ndege za kununulia kwenye mialo sidhani kama tutafika popote na ikizingatiwa kwamba hatuna watu wenye ujuzi na mambo ya aviation kwani ajira zetu hazizingatii merits bali mambo tu ya kipumbavu kama, upambe, ukada nk.
 
Wahaya acheni dharau kwa ATC imewarahishia mnafika Bukoba kwa 200,000 tu tofauti na 700,000 za PW
 
IMG_20171001_184714.jpg
 
Back
Top Bottom