The World Is Going Mad: Awesome Dancing Traffic Cop!

The World Is Going Mad: Awesome Dancing Traffic Cop!

Iselamagazi

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
6,083
Reaction score
6,241
Habari zenu wana Jamvi!



Traffic Police wa Ufillipino akiongoza traffic katikati ya mitaa ya Manilla wakati huo huo akicheza soundtrack ya Michael Jackson - Billie Jean! Police huyu amekuwa kituko katika jiji la Manilla, akiacha mshangao mkubwa kwa watu mbali mbali wakiwamo: watoto, vijana pamoja na watu wazima.

Hivi police wa hapa Bongo anaweza aka kata mauno mitaani kama huyu ndani ya sare za kazi na akasalimika kweli?
 
Last edited by a moderator:
Hivi philipines nako magari yanaongozwa kwa mikono kama magomeni?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom