Hoja yako ni dhaifu na ina practical answer. Fanya uchunguzi mdogo tu utajishangaa unachoshikilia kumbe hakipo.Ndugu,
Msikurupuke bali leteni hoja zenye nguvu za kuthibitisha hicho mnachokiamini.
Hoja ya 'Perspective' mnayoitumia haijitoshelezi na pia haiendani na hicho mnachotaka kutuaminisha.
Kwa kifupi hoja hiyo ni irrelevant!
Next time, ni vyema mkatuletea hoja zenye mashiko, supported na evidentiary facts na si kauli tu za watu.
Mkifanya hivyo huenda mkatushawishi hapo baadaye kuamini hicho mnachokiamini.
Hizi hoja zenu za sasa bado ni dhaifu mno.
Ahsante!
Unachanganya sayansi na imani. Na huko nyuma nimekutolea mfano kuwa watu wanaohusisha hili na imani nawaelewa ila nikijadiliana nao Hatutaelewana. Bora tuishie hapa mkuu.Elewa kitu kimoja sisi wote ni wanasayansi ,na kuhusu nyenzo za kugundua nikutokana na mapungufu tunayo yaona,nimekuambia hii agenda haijaanza leo wala jana ni mpango wa miaka mingi ,wanasayansi wametumika kuitekeleza tu,na narudia kwa mara ya mwisho lengo lao ni kupoteza uwelekeo wa binadamu na kufuta uwepo wa muumbaji.
Cha kutegemea kwangu nikurudi katika uhalisia wako ujue umetoka wapi,upo duniani ili iweje na unaelekea wapi sio unapelekwa wapi.PERIOD.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sayansi inahitaji prove, wanasema hakuna MUNGU sababu hawana prove. Wakiwa nayo watasema yupo. Na wakisema yupo kiimani tu bila prove ndipo linakuja suala la kusali tu kunapotokea tatizo badala ya utafiti maana ni imani sio process inayoleta definition ya sayansi. Ukishachanganya sayansi na imani unapoteza maana. Ila mkuu hii si mada, mada ni flat vs round hivyo tuachane nayo
Nimesema tuondoke sababu ukishaingiza imani basi mambo mengi hayataenda kama mleta mada alivyokusudia.Ni sawa, tuyaache mkuu. Ila fahamu sayansi imekuwako tangu enzi na enzi. Tatizo ni kumwondoa Mungu.
Turejee kwenye mada mkuu
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Turudi kwenye mada mkuuNimesema tuondoke sababu ukishaingiza imani basi mambo mengi hayataenda kama mleta mada alivyokusudia.
Mm ntakujibu kuwa Adam na Eva wametuletea hizi shida kwa kuasi, ukimpokea YESU kuwa BWANA na mwokozi wako utaokoka na maswala ya sayansi hayatakusumbua maana yeye ndo mkuu wa sayansi.
Sasa tukiingia huku tutavuruga mada yoote na hapa si jukwaa la dini. Ndo maana nakwambia tusiende huko tujikite kwenye mada.
Na bado uwepo wa Mungu wa Mbinguni tumeujua kutoka kwenye vitabu tulivyo letewa na hao Wazungu!Kuwa mpole. dini ni imani hata wewe kuamini Mungu kwa namna yako ni imani yako. Tunajimilikishaje MUNGU ilihali na wewe una namna yako ya kuamini uwepo wake na hujanyimwa kuamini?
Sayansi ni pana ni sivyo unafikiria kuna sayansi ya madawa,mawasiliano,mazingira,anga,kemikali,akili,mambo ya kale na mwisho elimu ya Mungu(theology)Unachanganya sayansi na imani. Na huko nyuma nimekutolea mfano kuwa watu wanaohusisha hili na imani nawaelewa ila nikijadiliana nao Hatutaelewana. Bora tuishie hapa mkuu.
Hahahhh.. Mkuu Huu uzi ni sawa na utumbo wa ngedere.. Upuuzi mtupu
Sent using Jamii Forums mobile app
Antarctic ni bara lenye barafu lililozunguka dunia nzima kwa circumference.ni hivo tu ndani 6 la mwisho limewazunguka wote.
Ok ila hapa tunajenga hoja na kuelimishana,kama unataka kubishana sio mahali pake.Bwahahahahahhh.. Eti unipe msaada..
Msaada gani nitathubutu kuhitaji kwa kiumbe kama wewe..?
Mtu unaamini upuuzi ndo nihitaji msada wako?
Kwanza wacha nipige kimya tu, maana kubishana na kiumbe anaeamini dunia ni flat ni sawa na kubishana na ng'ombe tu..
ni kujipa mikosi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa Wewe binafsi unakubaliana na mawazo ya hao wanaosema Dunia ni Duara! Wazo la MabaraThis purely a good example of an indoctrination ,unaifahamu firmament msikikize hilary hapo ni mfano mzuri.
View attachment 1341014View attachment 1341015View attachment 1341017
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa Wewe binafsi unakubaliana na mawazo ya hao wanaosema Dunia ni Duara! Wazo la Mabara
7 ni la wanadamu waliamua kuyagawa! Mabara mengine yote karibia sehemu kubwa yemetenganishwa na maji.Habari gani kuhusu Ulaya na Asia ambayo kimsingi yameungana kwa kiasi kikubwa?! Na hayo Mabara saba uliyasoma wapi katika Biblia, Mungu akiyazungumzia ?!
Tunaendelea kujiuliza maswali ya flat earth:-
Jua lipo ndani ya DOOM
Nyota zipo ndani ya DOOM
Mwezi uko ndani ya DOOM
Vimondo na maobject mengine yapo ndani ya DOOM.
Mars ipo ndani ya DOOM.
Kwahiyo huko nje kabisa ya DOOM hakuna sayari hata moja wala object yeyote?
Tafiti zinasemaje kuhusu kupasua DOOM tutafaidikaje? Kama huko nje ya doom hamna kitu labda ni maji na giza.
Sent using Cash Money Wings