Kwanini wafiche dunia sio tambarare ni tufe?Nini faida ya kuficha?Hasara ni zipi endapo binadamu watajua kwamba dunia ni tambarare?Mbona ni jambo zuri tu kuvumbua mambo kila siku.Hahaha mkuu kuna eneo kubwa nje ya dunia yetu thats why imewekwa sheria ya Antarctica treaty iliyo sainiwa na nchi kumi na mbili ikiwemo south africa kupinga mtu yeyote asiende bara hilo kwakuwa wanadamu watajua dunia sio tufe bali ni tambarare
Sent using Jamii Forums mobile app
Indoctrination mbaya sana na bado inaendelea ,this time wametuma chombo Saturn ,are they real serious?watu hawajishughulishi
br0,,,,Umewahi kuumw Degedege?
Hapa mimi najifunza kitu, huenda watu wanataka kulazimisha kilichoandikwa katika vitabu vya imani kionekane ni kweli, kwa sayansi ya mpaka sasa dunia ni ya duara.
Na ingekuwa kuna hayo sijui ma germinia, na ni dili kuna mataifa yaliyopinda hayaskii la mkuu yangesanua projects huko, kama vile Russia,North Korea,Iran e.t.c....Hizo zitabaki kuwa nadharia tu until tutakapo prove.Kabisa yani unaweka mchoro wa kisayansi halafu juu kabisa unawe "God" sijui Heaven Of Heaven[emoji2][emoji2].
Jamani watu weusi hizi habari za ukifa sijui ukaishi tena ni za kusadikika tu zifwate kwa maslahi ya jamii na siasa, na labda kukidho haja ya hofu ya kifo.Ukifa hauwi mtu tena GAME OVER(Ukweli mchungu sana).
Kwanini wafiche dunia sio tambarare ni tufe?Nini faida ya kuficha?Hasara ni zipi endapo binadamu watajua kwamba dunia ni tambarare?Mbona ni jambo zuri tu kuvumbua mambo kila siku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwisho sasa Jamaa anaumbuka anapost vielelezo ambavyo haviendani na maswali yetu!
Does it sound like intoxicated words?
Bas potea coz you'll contribute nothing here without physics knowledgeKwahiyo sasa hivi unatumia physics kuthibitisha sio?.
Mimi sijasoma na sijui physics nieleweshe.
Unajua watu wangekuwa wanatafakari haya kuyajua si kazi ngumu.
american propaganda hizi ,kwa wachache tushaelewa kitaambo tuIndoctrination mbaya sana na bado inaendelea ,this time wametuma chombo Saturn ,are they real serious?
Sent using Jamii Forums mobile app
Natafakari naona dunia mpira inanipa ukskasi japokuwa huko shule nimesoma hvyo.Unajua watu wangekuwa wanatafakari haya kuyajua si kazi ngumu.
american propaganda hizi ,kwa wachache tushaelewa kitaambo tu
Natafakari naona dunia mpira inanipa ukskasi japokuwa huko shule nimesoma hvyo.
Mimi naona tujadili hoja moja moja mkuu ili tupeane darsa nzuri kinyume na hawa wanaoponda hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
br0,,,,Umewahi kuumw Degedege?
Chagua mkuu that was an offend badala wakite kwenye hoja wanaleta political dogma