The World is a flat plane and not a globe

Nimekuambia its an interaction of the sun with shadows of other celestial bodies it might be other suns or moons on an earth land extension like mars is the sun of the next land after antarctic and venus is a moon.

Sent using Jamii Forums mobile app
Is there another land after earth?? Do they get light?? If so, from which source?

ARUSHA KWETU
 
Hello
Kuna Euclid geometry and non Euclid geometry

Ukikuwa utaacha
 
Mkuu REALITY, kwa picha za minara uliyota kuwa ndo minara mirefu unayoongelewa, nadiriki kusema UNATUPOTEZEA MUDA!!

hii ndo minara mirefu hii?? Hii Kama ya voda na Airtel??

ARUSHA KWETU
 
REALITY, Usitake kucomplicate vitu rahisi wewe... Yani unaamini "the electromagnetic nature of light" lakini unashidwa kuamini vitu vidogo na obvious kama dunia duara[emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakubaliana ni nini mkuu kwa sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhusu nini? Kama ni kuhusu evolution and associated phenomenology theories mimi sijakubaliana nazo moja kwa moja lakini pia sizikatai moja kwa moja kwa sababu sina data za kuwa-prove wrong. Hivyo kwa sasa mimi ni muumini/naamini au kukubaliana zaidi na concepts za creation "uumbaji".

Naamini kuna supernatural Energy/Power aka God na ndiye ali-create universe na kila kilichomo. Na imani yangu Mungu yuko in form of Energy "Nguvu" ambazo hazina kipimo ndiyo maana anafanya atakalo hapingwi na chochote.
 
Are you sure that Isaac Newton died without proving the existence of Gravity N gravitational force

100%...do research. Nicola Tesla also tried to proof it but failed. There is no such thing as gravity but buoyancy and density
 
Mkuu inaonekana ww angalau umemuelewa kiasi, naomba unisaidie, amesema hiyo minara mirefu imesimikwa maeneeo gan??[emoji1787]

ARUSHA KWETU
Eti hiyo Minara imesimikwa aridhini kwenda juu. Mfano..International space station na Satellites zimetundikwa juu ya Minara!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…