The World is a flat plane and not a globe

Hiyo ni kwa sababu y'all continue to deny all evidence. Na huku kwenda kufanya utafiti wenu ni really expensive hamna huo uwezo mnaishia kusema NASA NASA.
 
Expensive kwani dunia ni ya nani ,huku ndo kuwa na akili za kitumwa,expensive according to who?
Hiyo ni kwa sababu y'all continue to deny all evidence. Na huku kwenda kufanya utafiti wenu ni really expensive hamna huo uwezo mnaishia kusema NASA NASA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SHORT AND CLEAR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Patamu hapa, naomba kukuuliza kabla sijaendelea, wewe unaamini lipi?
 
I wish dunia ingeruhusu FREE THINKERS. Hakuna kitu cha hovyo maishani kama kujivunia knowledge ya kukariri.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Hapa ndo naamini watu wanavyosema yule ni proffesor uchwara,kumbe ndo haya sasa.kushinda na mavitabu ya nadharia halafu kusumbua watu na upuuzi.

Halafu wanadhani sisi hatajasoma science machuo,kumbe tulikuwa nao darasa moja ila kujikomboa kifikra ni jambo lingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo bara la australia wako juu chini??
Wazee wa duara: No wajua dunia ni kubwa sana kiasi kwamba hawawezi kuhisi na gf inawasaidia[emoji23][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Expensive kwani dunia ni ya nani ,huku ndo kuwa na akili za kitumwa,expensive according to who?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa mpole, Dunia ni yetu sote_ sasa NASA wanawazuiaje kwenda? Huu ushahidi haujautoa bado.

Do you have the resources to conduct your own circumnavigation?. If yes, why doesn't someone just fly around the world and record it?. Ni ghali mtatumia gharama na mtaishia kugundua ni 'tufe' kilichobaki ni kueneza conspiracy theories.
 
Ni mara mangapi kesi za flatearth zimetupiliwa mbali,kwanini ramani za flat earth zifichwe ,kwanini internet data kuhusu flat earth zinaanza kupotea kwenye database,kwanini watu wanalalamika youtube wanazifuta video,kwanini NASA hawatoi report public kwenye mtandao watu wafanye research kwani public wana interest ya kuwa astronauts si wanapewa hizo evidence waprove ,kwanini video za mwezini hawana,kwanini wazifute?kwanini ukiwauliza maswali wanasema classified au confidential ,kwanini waanze kwenda mwezini kwenye 60s,baada ya NASA,Baada ya operation high jump,huku wakijua mwezi is just a glowing circle and sometimes transparent, unjua ni lini dunia Imeanza kuwa mpira,na ni nani alifanya iwe ..


Internet imejaa picha za cgi ,photoshopped ,edited videos,hoax moon landings ,na streaming live ya space wakati wanajirecord ndani ya base yao ,
It's entirely possible that I'm being an absolute Idiot but would you mind showing me the exactly evidence Mr?. Au nani alijaribu kwenda akakutana na kikwazo cha NASA?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watch "Flat Earth vs. Round Earth | Explorer" on YouTube
hatari yoyote ila hatari itakuwepo endapo watu watawashawishi wanasiasa kuacha kurely on science na kukimbilia believes, imagine politicians stops funding science sababu wapiga kura hawaamiini tafiti zao. Kuna mdau keshaunganisha hili suala na dini na ana pointi za msingi
 
Sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Acha uzushi. Hii ni sehemu ya vipengele vya mkataba unaousema;

1. Antarctica shall be used for peaceful purposes only. There shall be prohibited, inter alia, any measures of a military nature, such as the establishment of military bases and fortifications, the carrying out of military maneuvers, as well as the testing of any type of weapons.

2. The present treaty shall not prevent the use of military personnel or equipment for scientific research or for any other peaceful purposes.
 
Nilishaona mkuu kuna ambazo watu walienda mpaka northpole zimefutwa hiyo ya mwaka juzi sijui

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…