The World is a flat plane and not a globe

Siku mkija shtuka mtakuwa late sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Asee mimi niko nasubiri mpaka siku flat Earthers wenzako Watakapo anza project ya ujenzi wa Minara mirefu ili wakimaliza tu na wao wawe wanajitundika juu na Camera zao! Watupatie Videos halisi za hiyo flat disc earth na siyo hizi CGI ulizo post humu!
 
Kama Mungu kusudio lake ilikuwa kuwazuia Watu wa Babeli wasifike hapo juu kwenye Dome, kwa mujibu wa flat Earthers alikuwa kachemka! Kwa maelezo ya flat Earthers hiyo Dome inaanzia kule Antarctic ikianzia chini aridhini ambako Watu wengi wanaweza kuifikia. Eti ndio maana Wanasayansi wakaweka zuio la kwenda huko!
 
Na huo ni ukweli mchungu ambao wanasayansi hawataki kusikia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dunia nzima ni flat earthers wanao kuwa indoctrinated
Asee mimi niko nasubiri mpaka siku flat Earthers wenzako Watakapo anza project ya ujenzi wa Minara mirefu ili wakimaliza tu na wao wawe wanajitundika juu na Camera zao! Watupatie Videos halisi za hiyo flat disc earth na siyo hizi CGI ulizo post humu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unaona mbali ila hizi sayansi za anga zimewakamata sijui tatizo ni upeo mdogo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dunia inaongozwa na wahuni fulani hivi wachache ambako hao USA na ussr ni puppets tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
means hata NASA hawako free kwenda kwenye dome???
Wanajua kila kitu ,wanachokifanya ni watu wasijue kwa uwongo wao ili kumfuta MUNGU kwenye vichwa vya watu ,maana watu wakijua uwepo wa dome wataamini maandiko na uumbaji na sio tumetokea kwa nyani na mlipuko usio na chanzo,zote hizi ni njama za shetani kupeleka watu motoni pamoja na yeye PERIOD.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…