The World is a flat plane and not a globe

Swali hilo haliwezi kujibiwa na flat-earthers sababu muundo mzima wa flat-earth ni illogical. Hilo swali watalikimbia tu!

Jua hilo hilo katika nyakati tofauti linabadili sura ya mwangaza wake, linabadili njia katika mzunguko, linasogea "north" kisha baadaye tena linahama kuiacha "north" hapo hapo linahitaji kukamilisha mzunguko wake kamili wa kila siku. Hahaha!

Huwezi kuwa na ufahamu sahihi ukakubaliana na huo upuuzi wa flat-earthers.

Flat-earthers ni kikundi cha uzushi na mizaha tu ifanywayo na watu wajuao wakifanyacho.

Wakiwa proved wrong kuhusiana na uzushi wao, wanatunga uzushi mwingine mpya ilhali wakijua kabisa kuwa ni uzushi na kwa makusudi hawataki kukubali, hakuna uhalisia wowote wala mantiki katika hizo theories zao, wala uthibitisho wowote juu ya hayo madai yao!

Jambo la kustaajabisha ni kuwa, kuna kundi jingine ambalo linadiriki kuipokea na kuiamini hiyo mizaha bila kufikiri wala kuhoji. Miongoni mwao ndiyo hawa wadandiaji tunaokutana nao mitandaoni kila siku.

Ni wadandiaji tu ambao wameamua kuwa wavivu wa kufikiri.
 
.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • FB_IMG_1583529053890.jpeg
    92.5 KB · Views: 13
.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…