The World is a flat plane and not a globe

Unatumia kipimo kipi kwamba hatuwezi,unajua maana ya flat earther unadhani sisi hatujui science mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuuliza tena asili yako ni ipi jibu?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo ujue kuwa mnara unasafirisha hiyo distance na sio satellite,i mean long range towers.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Satellite zipi hizo mbona hata kwa telescope hatuzioni mimi na wewe,
Je mwezi na satellite ipi ipo mbali?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usibishane na watu wa darasa la.Pili
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…