Kumbe jua liko juu mwezi chini, na vipi kuhusu kupatwa kwa mwezi, kunatokeaje?
Na jua na mwezi kutokana na nadharia yako nini kinavifanya vizunguke?
Na je hiyo flat disc imeshikiliwa na nini au imenasa wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wewe ni pseudo scientist, nipe ushahidi kwamba hiyo ni baloon na editing sio unasema tu mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe kimondo hukijui, basi usiseme hakipo wakati hukijui,
Kila kitu unahitaji Ushahidi kutoka Flat Earth..
Sijaona baloon hapo, halafu unapost video mimi nikileta za NASA unakataa et editing, hiyo video unaona iko sawa kweli??
Lazima wafungie sababu mnapotosha watuHuwezi pata video za flat earth youtube zimefungiwa utakuta ujinga kama huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu nkumbison wewe ni bingwa wa kunadili mada, hapa tunazungumzia dish la azam wewe unaleta habari za jua.Kila kitu unahitaji Ushahidi kutoka Flat Earth..
labda tuanzie hapa, ushahidi gani ulionao wewe kuwa Jua halitembea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikajua ni utafiti wako kumbe bado umerely kwa hao hao unaosema wanatudanganya.
Sioni bakuli mkuu naona spherical horizonNdo jinsi ilivyo angalia nje kulivyo ni kama bakuli limekavaa kila angle katika circumference.View attachment 1371390
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo mambo ya kwa nini niko duniani na asili kuna nadharia kadhaa najua na wewe una ya kwako unayoiamin sina haja ya kukwambia nadharia ninayoifahamu mimi kuhusi asili yangu.Unajua kwanini tupo duniani?
unajua asili yetu?
ukijibu haya mawili ntakujibu kwanini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza tambua ya kwamba satellite signals zinakiwa transmitted kama radio waves these waves travel at 300,000 km/s (the speed of light). This means that a signal sent to a satellite 38,000 km away takes 0.13 s to reach the satellite and another 0.13 s for the return signal to be received back on Earth.
Sijui wewe unatumia vigezo ganiSijaona baloon hapo, halafu unapost video mimi nikileta za NASA unakataa et editing, hiyo video unaona iko sawa kweli??
Sent using Jamii Forums mobile app