OkIllustrations zako hazieleweki hasa hapo kwenye solar eclipse seems like jua kuna muda linaenda juu halafu linashuka wakati kwenye ile picha nyingine linazunguka kama mshale wa saa kipi ni kipi?
Flat earthers mmeshindwa kuexplain solar eclipse na lunar eclipse mnajaribu kulazimisha tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Live feed inafanyika kwenye altitude ballon na ni video editings plus CGI na hizo picha zinazo stream live kuonesha dunia ni camera zenye lens ya FISH EYE yani unaona dunia ni curve na sio horizon.fanya utafiti taratibu na tumia ubongo wako sio wa mwingine.Tayari unasema gravity haipo hata ukieleweshwa huwezi kubali.
Tafuta live feed kutoka ISS (International Space Station) au nayo haipo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wewe ni pseudo scientist, nipe ushahidi kwamba hiyo ni baloon na editing sio unasema tu mkuuLive feed inafanyika kwenye altitude ballon na ni video editings plus CGI na hizo picha zinazo stream live kuonesha dunia ni camera zenye lens ya FISH EYE yani unaona dunia ni curve na sio horizon.fanya utafiti taratibu na tumia ubongo wako sio wa mwingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo disc umeiona wapi mkuu useme evidence starts with eyes [emoji849][emoji849][emoji849]
Sent using Jamii Forums mobile app
Alivyosema baloons nimetafiti kuhusu baloon sijaandika tu, hakuna baloon inayokwenda juu kiasi hicho same applies to drones
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe jua liko juu mwezi chini, na vipi kuhusu kupatwa kwa mwezi, kunatokeaje?
Huo ni uongo mkuu, dish hazina ueleko mmoja. Kama hivyo vifaa vinafuta minara kwa nini viitwe sat finder na sio tower finder? Au bado wazungu wananichezea akili? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujajibu swali, unauliza swali.Waulize nasa kwanini hawapeleki normal civilian angani wanaenda wenyewe utapata majibu,na sidhani kama hata watakujibu either kwa email hata kwa simu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nistuke nini?
Mkuu Dstv iko sehemu nyingi africa utasema na huko wanaroam kwa app. Unapinga pasipo kuwa na hoja imara wala ushahidi zaidi ya maneno tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Waliogundua satellite ndo wamesema hivyo wewe kwa kuwa unapinga bila hoja na ushahidi wa msingi unakataa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Embu niambie satellites zipo umbali gani na kwanini ukitumia telescope unaona nyota kwa ukaribu na huoni satellite hata moja kama zipo millions out there.Dishes zinatumia satellites tofauti sio moja ndo maana ukigeuza hupati signals na ndo maana dish hazina uelekeo mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe ushahidi kwamba dish la azam halishiki cadana mkuuJamaa kasema ukifunga dish la azam canada utashika channel,kwa kifupi huwezi hata utumie hiyo sat finder yako inshort hakuna satellites na mnara wa azam tv unao transmit signal huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Simu kuwa na vifurushi na dish kuwa na vifurushi ndo ushaidi kuwa dish zinatumia minara seriously???
Transmissions za simu ni minara hiyo inajulikana lakin bado kuna simu za satellite ambazo hazitumii hiyo minara.
Sijui utasema zinatumia nini au nazo hazipo?????
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanavyonichezea akili wanafaidika nini? Ili iweje?
Mkuu kama umesoma historia baada ya vita ya pili ya dunia kulikuwa na cold war kati ya Marekani na umoja wa kisovieti (1945-1991) moja wapo ya mambo yaliyovuma ilikuwa space race.
Walianza urusi na Yuri Gagarin aliyefanikiwa kuzunguka dunia kupitia orbit mbona Marekan hawakupinga ? Badala yake wakafinikiwa kupeleka binaadam wa kwanza mwezini Neil Armstrong na urusi hawakupinga ilihali walikuwa na vita ushindani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kijijini kwetu ni bondeni mbali sana hata mitandao ya simu hakuna lakin dish zinapata signals sasa hiyo minara iko wapi?
Na vipi kuhusu ving'amuzi vya antenna mbona vijijin havishiki? Hivyo ndo hutumia minara
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka evidence gani wakati zilitua zamani teknolojia haijakua.
Na wewe una evidence yoyote kwamba kimondo cha mbozi sio kimondo halisi ? Achana na crater ya Arizona hapo najua utapinga sababu hakuna kimondo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapigie azam waulize nadhani tuanzie hapo ,halafu utupe mrejesho.
Unajua kwanini tupo duniani?Nistuke nini?
Nimekuuliza kwa nini wanidanganye? Wanafaidika nini ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo jinsi ilivyo angalia nje kulivyo ni kama bakuli limekavaa kila angle katika circumference.Hujajibu swali, unauliza swali.
Kwa nini unaishia kusema tu pasipo ushahidi? Nimekuuliza hiyo disc kwa macho umeionaje?
Sent using Jamii Forums mobile app