The World is a flat plane and not a globe

Tatizo lako neno satellite unafikiri ni chombo kinachoelea angani chenye kupitisha mawasiliano ila in reality sio kweli ni mchezo tu unaochezwa na unawaamini kwahiyo ni ngumu kuelewa.
Ndo maana zinaitwa satellite dish mkuu, zinachukua signal direct kutoka kwenye satellite.

Sat finder unaifahamu mkuu, kama unaijua huwa inatafuta minara au?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huamini ni ballons mkuu?kwanini usitafiti unapokea tu vitu?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni binadamu mwenye msimamo wa flat disk maana ushahidi ni macho yangu sio hesabu za kuunda za kina copernicus na wenzake waliojaa theory tu,evidence starts with EYES.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Which illusions?
Kuona dunia ni dogo na sawa na mwezi na vinazunguka angani ni illusion?
Kama ni illusion basi dunia yako ni extra ordinary.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unasema; "uongo utimie kimahesabu"

Unaweza kuthibitisha huo "uongo" ya kwamba ni uongo?

Huo "uongo" unafanyika kwa maslahi ya nani? Kwa kusudi gani na ili iweje?

Karibu kwa majibu!
Maslahi ya IBILISI na kukuonesha huna thamani yani upo upo tu maana ulitoka kwa random ukawa nyani ndo sasa umetimia ,au mkuu asili yetu sio nyani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lunar eclipse ipo kwa thread na chanzo cha kuzuiwa Antarctic ipo kwa thread.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dunia imeshikiliwa na maji
Jua linazunguka dunia
Kuhusu lunar ni interaction ya jua na mwezi kutengeneza kivuli kulingana na phase za mzunguko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…