Story inaweza ku reflect maisha yako hadi ukatamani kukimbia ujifiche[emoji19] [emoji19] [emoji17] [emoji17] . I do remember enzi za usichana wangu kuna kaka nilitembea nae kwasababu tu nilikuwa namhurumia na sio kwamba nilimpenda (Ronny) .
Thanks @lara1 what a priceless short story!