The Working Class, Savages in Suits


This girl is something else very bright n smart kwa uandishi wake hakuna mwandishi anayemfikia nchii hii nadhan anaweka historia ya pekee yake. Ur so good Lara 1.
 
lara 1 you are something else... For myself I am just taking its real happening outer there, I always feel like I am the part of the Story... Ethnomedologically.
 
lara 1 umeingia kwenye list ya the legends wangu. story niliishi I was part of the community ya kina ronny na hom ...........nimeifeel kiukweli thanx alot na na narudia tena Keep it way way way up mummy!!
 
Ahaaaaa shikamo pesa! Mara haisimami mara kibamia rawa wat wat! Nani kasema? Pesa bwana mapenzi ua dhati kampe mama+ muumba wako hawa ndo wanastahili mapenzi ya dhati. Hongera shem chris
 
Lara1 Weekend imefika bana, usisahau kutuburudisha.
 
Kudadeki! Kubaka mawazo n issue, wale washkaji waliokaribu na mademu ndo walikuwa wanatusaidia kutengeneza hiyo model
Unakuta demu anatajiwa jina lako mara 50 kwa siku, ukifika prep pale COET huna habari nae full kusolvia washkaji! Wakati huo ushakesha na desa

Mwisho wa siku lazima ajichanganye!

Good old times
 
Dah.., I salute you lara 1 kwa tungo tamuuu!
Naombeni link ya Valentine ili niendelee kuibaka akili yangu kwa utamu wa tungo murua toka kwa kubwa la maadui lara 1
 
you are marvellous so to say lara one.
 
Nataman nimuoe huyu bint ili awe ananisimulia usiku.

Nikushauri lara 1, tunga novel, tutanunua kabisa
 
Lara1 mbona J'pili hii hauonekani!? Kila saa nakuja kukutafuta na sikuoni!? Ushatufanya mateja bana njoo utuondolee hii arosto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…