sister JF-Expert Member Joined Nov 23, 2011 Posts 9,014 Reaction score 6,852 Feb 21, 2016 #221 ibra87 said: hata miye ni mzee mwenzio usitishwe na hiyo 87 Click to expand... Sasa wote tukianza kuugua kisukari nani atamuuguza mwenzie? Tafuta binti bwana ........
ibra87 said: hata miye ni mzee mwenzio usitishwe na hiyo 87 Click to expand... Sasa wote tukianza kuugua kisukari nani atamuuguza mwenzie? Tafuta binti bwana ........
Ayanda85 JF-Expert Member Joined May 13, 2014 Posts 629 Reaction score 567 Feb 21, 2016 #222 HIV+...duuh hata mi nimeirudia hii paragraph, gonjwa linatisha hili jamani Mungu tusaidie waja wako
ibra87 R I P Joined Jul 22, 2015 Posts 5,614 Reaction score 5,363 Feb 21, 2016 #223 sister said: Sasa wote tukianza kuugua kisukari nani atamuuguza mwenzie? Tafuta binti bwana ........ Click to expand... utamu wa vya wazamani huvuka mara tatu zaidi ya hawa mabinti wa kileo.. Nisikilize mwenzio
sister said: Sasa wote tukianza kuugua kisukari nani atamuuguza mwenzie? Tafuta binti bwana ........ Click to expand... utamu wa vya wazamani huvuka mara tatu zaidi ya hawa mabinti wa kileo.. Nisikilize mwenzio
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,506 Reaction score 18,872 Feb 21, 2016 #224 sister said: Mie ni mmama wa 50+ uko.......siyo binti tena....... Click to expand... Mie mwenyewe Ni m'baba wa 55+ hivi amazing
sister said: Mie ni mmama wa 50+ uko.......siyo binti tena....... Click to expand... Mie mwenyewe Ni m'baba wa 55+ hivi amazing
sister JF-Expert Member Joined Nov 23, 2011 Posts 9,014 Reaction score 6,852 Feb 21, 2016 #225 ibra87 said: utamu wa vya wazamani huvuka mara tatu zaidi ya hawa mabinti wa kileo.. Nisikilize mwenzio Click to expand... Nakusikiliza ila kwenye utekelezaji ndo hautatokea.......
ibra87 said: utamu wa vya wazamani huvuka mara tatu zaidi ya hawa mabinti wa kileo.. Nisikilize mwenzio Click to expand... Nakusikiliza ila kwenye utekelezaji ndo hautatokea.......
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,506 Reaction score 18,872 Feb 21, 2016 #226 sister said: Kwanini? ............ Click to expand... Umtumzima....
sister JF-Expert Member Joined Nov 23, 2011 Posts 9,014 Reaction score 6,852 Feb 21, 2016 #227 kabanga said: Mie mwenyewe Ni m'baba wa 55+ hivi amazing Click to expand... Hahaaaaaa aya bwana..........mzee mwezangu........
kabanga said: Mie mwenyewe Ni m'baba wa 55+ hivi amazing Click to expand... Hahaaaaaa aya bwana..........mzee mwezangu........
D Developer JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 564 Reaction score 928 Feb 21, 2016 #228 kabanga said: Mie mwenyewe Ni m'baba wa 55+ hivi amazing Click to expand... Hakuna mbaba wa 55+ anayetumia manemo kama amazing, ni vijana tu ndo utawasikia "picha fulani hivi amazing"
kabanga said: Mie mwenyewe Ni m'baba wa 55+ hivi amazing Click to expand... Hakuna mbaba wa 55+ anayetumia manemo kama amazing, ni vijana tu ndo utawasikia "picha fulani hivi amazing"
sister JF-Expert Member Joined Nov 23, 2011 Posts 9,014 Reaction score 6,852 Feb 21, 2016 #229 kabanga said: Umtumzima.... Click to expand... Ooooooh aya..........
ibra87 R I P Joined Jul 22, 2015 Posts 5,614 Reaction score 5,363 Feb 21, 2016 #230 sister said: Nakusikiliza ila kwenye utekelezaji ndo hautatokea....... Click to expand... naamini tukiyapanga vizuri utekelezaji utakuwa kama kumsukuma mlevi vile
sister said: Nakusikiliza ila kwenye utekelezaji ndo hautatokea....... Click to expand... naamini tukiyapanga vizuri utekelezaji utakuwa kama kumsukuma mlevi vile
sister JF-Expert Member Joined Nov 23, 2011 Posts 9,014 Reaction score 6,852 Feb 21, 2016 #231 Developer said: Hakuna mbaba wa 55+ anayetumia manemo kama amazing, ni vijana tu ndo utawasikia "picha fulani hivi amazing" Click to expand... Wazee wa dotcom wanaenda sambamba na vijana........
Developer said: Hakuna mbaba wa 55+ anayetumia manemo kama amazing, ni vijana tu ndo utawasikia "picha fulani hivi amazing" Click to expand... Wazee wa dotcom wanaenda sambamba na vijana........
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,506 Reaction score 18,872 Feb 21, 2016 #232 Developer said: Hakuna mbaba wa 55+ anayetumia manemo kama amazing, ni vijana tu ndo utawasikia "picha fulani hivi amazing" Click to expand... Sasa hutaki...? Sie ndio wadhamini wa show....
Developer said: Hakuna mbaba wa 55+ anayetumia manemo kama amazing, ni vijana tu ndo utawasikia "picha fulani hivi amazing" Click to expand... Sasa hutaki...? Sie ndio wadhamini wa show....
sister JF-Expert Member Joined Nov 23, 2011 Posts 9,014 Reaction score 6,852 Feb 21, 2016 #233 ibra87 said: naamini tukiyapanga vizuri utekelezaji utakuwa kama kumsukuma mlevi vile Click to expand... Siyo mtekelezaji wa kutoka umu......ni sawasawa na ofisini.......hapa ndukiii moja kubwa.........
ibra87 said: naamini tukiyapanga vizuri utekelezaji utakuwa kama kumsukuma mlevi vile Click to expand... Siyo mtekelezaji wa kutoka umu......ni sawasawa na ofisini.......hapa ndukiii moja kubwa.........
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,506 Reaction score 18,872 Feb 21, 2016 #234 sister said: Ooooooh aya.......... Click to expand... Vyema....
BabM JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 1,166 Reaction score 956 Feb 21, 2016 #235 Linda is indubitably a prostitute
ibra87 R I P Joined Jul 22, 2015 Posts 5,614 Reaction score 5,363 Feb 21, 2016 #236 sister said: Siyo mtekelezaji wa kutoka umu......ni sawasawa na ofisini.......hapa ndukiii moja kubwa......... Click to expand... humu mbona ni kama sehemu nyingine tu? Na unaweza kupata mtu ambaye utajivunia na kujipa sifa kuwa ibra anajua kucare
sister said: Siyo mtekelezaji wa kutoka umu......ni sawasawa na ofisini.......hapa ndukiii moja kubwa......... Click to expand... humu mbona ni kama sehemu nyingine tu? Na unaweza kupata mtu ambaye utajivunia na kujipa sifa kuwa ibra anajua kucare
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,506 Reaction score 18,872 Feb 21, 2016 #237 sister said: Hahaaaaaa aya bwana..........mzee mwezangu........ Click to expand... Sawa mtu mzima mwenzangu!! Inabidi tukae Kama kamati
sister said: Hahaaaaaa aya bwana..........mzee mwezangu........ Click to expand... Sawa mtu mzima mwenzangu!! Inabidi tukae Kama kamati
sister JF-Expert Member Joined Nov 23, 2011 Posts 9,014 Reaction score 6,852 Feb 21, 2016 #238 ibra87 said: humu mbona ni kama sehemu nyingine tu? Na unaweza kupata mtu ambaye utajivunia na kujipa sifa kuwa ibra anajua kucare Click to expand... Bora huyu ibra nimkute nje ya jf ila ndani anakuwa ameshakosa vigezo......ndukiiiiii kali.....we jichukulie upo ofisini afu ndo design za kina HOM .....teh utani lakini ingawa namaanisha........
ibra87 said: humu mbona ni kama sehemu nyingine tu? Na unaweza kupata mtu ambaye utajivunia na kujipa sifa kuwa ibra anajua kucare Click to expand... Bora huyu ibra nimkute nje ya jf ila ndani anakuwa ameshakosa vigezo......ndukiiiiii kali.....we jichukulie upo ofisini afu ndo design za kina HOM .....teh utani lakini ingawa namaanisha........
D Developer JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 564 Reaction score 928 Feb 21, 2016 #239 kabanga said: Sasa hutaki...? Sie ndio wadhamini wa show.... Click to expand... Ok, Get it. Salute.
sister JF-Expert Member Joined Nov 23, 2011 Posts 9,014 Reaction score 6,852 Feb 21, 2016 #240 kabanga said: Sawa mtu mzima mwenzangu!! Inabidi tukae Kama kamati Click to expand... Hii kamati natilia mashaka............kamati za chief ndukiiiiiiiiii
kabanga said: Sawa mtu mzima mwenzangu!! Inabidi tukae Kama kamati Click to expand... Hii kamati natilia mashaka............kamati za chief ndukiiiiiiiiii