Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
ndo hivyo rafiki.....Hahahaha lol!!! Kumbe tatizo lilikuwa ni madirisha yao na si ufuaji wa jirani.
taratibu rafiki.....Mkalimani yuko wapi mweee.
ndo hivyo rafiki.....
na sisi tumezoea sana, huyu sijui yukoje? wakati kumbe wewe ndo sijui ukoje, lol!
Fixed Point huyu [MENTION=39629] Mamndenyi anakuzuga tu ngoja akamlete mkalimani babu Asprintaratibu rafiki.....
Kwi kwi kwi kwi kwi lol!
Mume: Huu wali umeungua
Mke: Haujaungua umeshika kwa chini kidogo
Mume: Hata juzi uliungua ukasema hivyo kwamba umeshika kidogo kwa chini
Mke: Juzi pia haukungua, basi tumuite jirani atusaidie kuamua kama umeungua au la
Mume: Wewe kama unataka kumuita jirani hiyo ni juu yako mie sikulisema hilo la kumuita jirani
Chezeya ndoa weye!!!! Ndoa iliyokuwa tamu iliingia doa kubwa sana kisa sufuria ya kusongea ugali hadi ikavunjika....usipoziba ufa
Have a lovely and enjoyable weekend rafiki 🙂🙂
mtani wangu hapa ni swala la kujiangalia mara kwa mara na kujifanyia usafi.Mtani Fixed Point...utajuaje sasa kuwa kioo kimetindikiwa na uchafu?
have a lovely weekend to you too teja na your lovely wife Lady doctorWhat a wise advice!
Have lovely weekend all my fellow tejaz.
you are right, tunajifunza mengi sana kutoka kwa wenzetu, sana tu. mimi naweza kusema asilimia kubwa sana ya tunayoyafanya tunajifunza kwa wenzetu. tuendelee kufanya hivyo.Wakati namsubiri mkalimani wangu wa ubani wangu Asprini ngoja niseme kidogo hapa
"........ What we see when watching others depends on the purity of the window through which we look......."
Lakini pia yapo mengine tunayaona kwa wengine na yakatufunza mambo mengi mazuri sana;
Bosi wangu hapa anapenda sana kununua ardhi ..........nilikuwa naona anavyojitahidi kununua maeneo;
I used to wath him through that window...... nikaamua nifanye kama yeye; huwezi amini naona nimefanya hata kumzidi;
Hata hapa hapa jf ukiamua ..watch others ......kuna vitu vizuri sana ........
have a lovely weekend to you too teja na your lovely wife Lady doctor
you are right, tunajifunza mengi sana kutoka kwa wenzetu, sana tu. mimi naweza kusema asilimia kubwa sana ya tunayoyafanya tunajifunza kwa wenzetu. tuendelee kufanya hivyo.
na believe me, tunaweza kuona mengi mazuri ya watu kama tunawaangalia through clean window. tukiangalia kupitia kioo kichafu basi hata mazuri wanayoyafanya tutayaona mabaya. hujawahi kukaa na mtu ambaye kila mara anaongelea negative things za wenzie? yaani hata mwenzie akinunua kiwanja utasikia "kiwanje chenyewe kanunua Goba", sasa unajiuliza, what is wrong kununua kiwanja goba? kwani huko goba watu hawakai?
Mtani Fixed Point...utajuaje sasa kuwa kioo kimetindikiwa na uchafu?