aliyewasemea wamarekani ni nani?wanasema wenyewe hapa,na nimesema washatabiri sijasema itakuwa.....siasa za marekani kama za east africa zinatabirika ila marekani ukweli haupindishwi kama ilivyokuwa kwa kibaki na museven au.....nani ambaye hakujua Obama atamshinda Mccain?kama huwezi tabiri tulia tu!!
ok....got ualiyewasemea wamarekani ni nani?wanasema wenyewe hapa,na nimesema washatabiri sijasema itakuwa.....siasa za marekani kama za east africa zinatabirika ila marekani ukweli haupindishwi kama ilivyokuwa kwa kibaki na museven au.....nani ambaye hakujua Obama atamshinda Mccain?kama huwezi tabiri tulia tu!!
Mkuu.zenji si kuna mafuta ... mbona hwavamii...?
kuna watu wanaona kuwa marekani wanataka mafuta ndo maana wapo libya-si kweli-marecan wenyewe ukiachilia mbali kuwa ni importer wazuri wa mafuta-pia wana reserve ambayo nayo si haba
Pili-Hii policy ambayo Obama anaisema haikuanza leo-ilikuwepo tangu zamani-kisa cha marecan na Libya hakijaanza leo-trace historia ya chuki kati ya libya na marecan-ili ujue kwa nini Obama amesema hayo maneno-si kuona mafuta ni dili sana kwa u.s.a
Bombing_of_Libya_Origins
Gulf of Sidra incident
Mkuu.
Marekani anatoa misaada mingi sasa kwa Tanzania kwa sababu gani?
Wanatulainisha. Walianza na kuripua balozi zao, wakatuletea sheria ya ugaidi.
Sasa kuna serikali ambayo inatekeleza matakwa yao siku akitokea rais na kuwa mkaidi tutaisikia habari ya Mmarekani.
Mkuu unawajua wamarekani kweli?
Wazo lako ni zuri. Ningefurahi kama sote tungekuwa na msimamo na moyo kama wako.Wabongo wote wasusie kuomba viza za US, UK, QATAR, SPAIN, DENMARK, FRANCE na UAE na walioko hizo nchi warudi bongo. Hapo ndio nitamiona wa maana. La sivyo ndio yaleyale...baniani mbaya...
Wabongo wote wasusie kuomba viza za US, UK, QATAR, SPAIN, DENMARK, FRANCE na UAE na walioko hizo nchi warudi bongo. Hapo ndio nitamiona wa maana. La sivyo ndio yaleyale...baniani mbaya...
hapa nimekuelewa mkuu-tatzo watu webgi wanang'ang'ania swala la mafuta tu-inaweza kuwa ni source mojawapo-lakini pia zipo nyingi zaidi ya mafutaMkuu.
kweli US wana reserve ya mafuta kubwa sana. lakini uelewe pia kuwa wao wanategemea kuwa baada ya muda uzalishaji wa mafuta utapungua duniani au visima katika maeneo mengine vitakauka.
ndio sababu wanabania kuyagida yao lakini pia wanahakikisha wana-control ya hayo mafuta yanayochimba katika nchi nyengine na hiyo ndio sababu huenda katika kila area za dunia ya tatu na kwa waarabu kudhibiti mafuta. Inapotokea watawala hawataki kushirikiana tena nao basi wamarekani hutaka regime change.
hata kama kuna ugomvi mwengine kati ya Gaddaffi na US lakini na mafuta ni moja wapo.
tembelea hapa.
Documentary – "Why we fight?"#
huu niuchambuzi na lawama wanazopewa serikali-ni sawa na jk anavyolaumiwa na baadhi ya watu-wapo pia wanaompenda -kuna wamarecan pia ukiwaulza juu ya marecan-wataisifia sana serikali yaomkuu
Huu ubaya wa serikali ya marekani hata wamarekani wenyewe wanaufahamu. Angalia video hii utaelewa wanavyoiona serikali yao.
Wengi wetu humu siasa za Marekani hatuzijui, baada ya kuona Denis Kucinich katoa mawazo yake basi tunaona asilimia kubwa ya Wamarekani wanamchukia Obama. Come 2012 Obama atashinda au shindwa urais kutokana na hali ya uchumi (so far unmpleoyment rate inaanza kwenda chini) na sio kupiga mabomu hao walibya don't be fooled na hao waandamanaji mbele ya White House na Capitol Hill heck sitoshangaa kuona hao hao jamaa wanampa Jaluo kura.
China na Russia siku zote watapingana na Western countries linapokuja swala la kusambaza "demokrasia" kwa sababu a) Russia anaikalia kimabavu Chechnya b) China anaikalia Tibet c) Biashara ya silaha.
Russia alipoivamia na kitwanga na kuua watu kule Geogia (Abakazia/S. Osertia) sikuona manung'uniko hapa jamvini.
Russia alivyoua wananchi wa Chechnia sikuona kelele hapa jamvini
JK alivyovamia Comoro hakuna mtu alisema neno JF
Wasomali wakiteka meli kila kukicha sijaona kelele hapa JF ndio kwanza watu wanashangilia
Saudia kupeleka majeshi Bahrain, sijaona kelele hapa JF
Gadhafi kumsaidia Idd Amin, sijasikia ikikumbushwa hapa JF
Gadhafi kusponsor mauaji ya Pan Am flight hakuna mtu ameongelea jamvini
Ethiopia kuivamia Somalia watu mmekuwa mabubu hapa JF
Qatar, UAE, Norway and others kupeleka fighter jets Libya, sijasikia manung'uniko hapa jamvini.
El Bashiri akituma Janjaweed kuwabaka na kuwalawiti wanawake Darfur mchana kweupee na kuwaua waume zao, JF kila mtu kimya!
Tuache double standards wana JF
Mkuu naona unaandika kishabiki sana.Us would never gather enough balls to attack that ship or to block its path.chinese have troops enough to put armed guard on every man and waman in us,not a country to piss around with,if china says stop it mean it,russia too said ceasefire.up to now no arab nation brough its plane.qatar brought four plane but they refused to patrol far than libya costline.in other words non flying zone not successfull yet