Uchaguzi 2012 kazi ipo and i guess Obama anaweza kuwa na wakati mgumu
mi naomba wala asijaribu kugombea.....:smash::juggle:
Mimi siyo kwamba nasifia lakini nasema ukweli tu. Hata Waafrica ni waoga tu, ni mpaka wakasirike ndiyo wanauana! Waafrica tunafanya uamuzi kwenye hasira. Inabidi tuangalie dunia inaendaje lakini Marekali kwa haki za binadamu ni bora kuliko China na Urusi.
Yani dogo huyo Obama anaimba na hio ndo inapotezea heshima sasa duniani. Matatizo hajui history z anchi za kiarabu, angejua asinge ingia.
I belive Ghadafi will win, american will most probably fail again.
Over the longer term kama unatumia akili vizuri, Ghadaffi atashinda mana dalili inaonyesha vile, na ikianza vita vya ndan tu, kumbukeni Gadhafi's superior weapons and better trained troops.
Mana hao hawawezi vita vya mda mrefu na Ghadaffi si mjinga kiasi vile atao silaha zote zote katika open area.
Yani huyo dogo obama asahau kupita mwaka 2012![/QUOTE]
Itategemea atasimama na nani toka GOP. So far list wa GOP candidates wote hakuna wa kum-beat Obama. May be kidogoo Romney.
Tulisema in 2004 Bush asingepita sababu alivamia Iraq na Afghanistan..huyooooo akapeta. So kitakachomwokoa Obama ni hiyo list ya weak GOP presidental nominees na kama uchumi utaendelea kukua.
Nasikitika tunashabikia ubeberu wa wamarekani kama vile timu ya mpira. Wanachofanya ni mauaji ya waAfrika kwa manufaa ya makampuni ya mafuta ya wamarekani kuwafaidia wamarekani. Haya twapaswa kuyaona kwa macho makini. Mubaraka mbona hawakusaidia kumuondoa japo wapinzani walipigwa risasi wazi mitaani na CNN ikarusha picha hizo? Mbona hukusikia wamemzuilia Mubaraka kusafiri wala kuzuia mali zake? Na mabomu ya kutawanya waandamanaji yalikuwa ya wamarekani. Na bila aibu wakawa wanasema twapaswa kuwa makini na power vacuum. Leo Libya imehalalishwaje? Mbona Yeme hawajafika? Ubabe wa wamarekani siyo wa kushangilia wandugu. Nia yao wamiliki maliasili zetu zote na watutumikishe wapendavyo. Pamoja na ubaya wa Ghadafi bado zipo taratibu za kimataifa zinazopaswa kufuatwa na hazikufuatwa hapa. Walichofanya ni kuitukana mpaka AU na nashangaa viongozi kama wapo wamekaa kimya kuruhusu wakati nchi mwanachama imevamiwa bila ridhaa yao. Hatuko salama hapa.
Mr obama yuko blinded na ambition,ole wake...Gadafi kajenga Libya kuliko nchi yoyote ya kiafrika ....Afrika ya kusini ni kazi kubwa ya makaburu waliodhani wangedumu milele...Km Marekani ni watu wa haki kwanza kwanini wasireform nchi yao na bara lao ikiwezekana kabla hawajatuvurugia Africa inayochechemea? Wajaribu Cuba,Venezuela na Iran![/QUOTE]
Umeshafika (Tripoli) Libya ama unakusikia tu? Sahihisha hapo.
Hao Cuba, China, Russia, Chavez ama Iran ningewaona wa maana kama wangepeleka midege na manowari kumzuia US, UK na hao washirika zao. Lakini ndio wamegeuka mabubu na hawajali
Ulaya na China hawataweza kuwa super power kwasababu moja tu hawapendi na hawajui kupigana. Nchi za ulaya zimepiga kampeni ya kumpindua Ghadafi na wenyewe walikuwa mstari wa mbele lakini sasa umekuja wakati wa kupigana na mabomu wanataka kumwachia Mmarekani mwenyewe!. Obama hakutaka hata kuingia kwenye vita lakini alikuwa ana unga mkono Ghadafi kuondoka. China wenyewe hawapendi fujo wanataka vitu viende kama vilivyo hata kama ni Kiongozi anaua watu wake China haiwezi kupinga. Hawa wote China na nchi za ulaya wana vifaa vya kijeshi lakini tatizo sio vifaa kama hutaweza kupigana hasa pale unapofikiri ni lazima!. Marekani wasemeni tu lakini kama wanaamini kitu wanaweka maisha yao na si kuongea siasa nenda rudi. Ulaya iko dhaifu sana na miaka ijayo hata Africa inaweza kuichukua Ulaya ukizingatia idadi kubwa ya watu wanaoishi huko ni wazee. Marekani inatawala kijeshi Japan, Korea ya Kusini, Iraq, Israel, Saudi Arabia, Afighan, Pakistan, Bahrain, Egypt na German.Mimi navyoona Marekani nguvu zinaongezeka na hazipungui kama watu wanavyofikiria. Obama anasikilizwa Japan sasa wakati wa tetemeko kuliko waziri mkuu wa Japan na anaaminika south Korea kuliko kiongozi wao.
nazani unashindwa kujua aina za ushindi-marecan wao wanaconsider tactical victory tu-si ushind kama huu wa vita ya kagera-wao wakisha aim sehemu zao za kupiga ambazo zitawapa wao advantage-basi wanakuwa washakurudisha nyuma umbali wa kutoshaNdugu siyo kuleta amani tu!! Kwa taarifa marekani haijawahi kushinda vita mahala popote!! Mtashangaa lakini ndiyo hivyo
In American elections foreign policy is hardly ever an issue....
It's the economy...if the unemployment rate remains high then he best believe he'll be a one term president. So for now it's hard to say much about his re-election chances because for one, his opponent in the GOP is not even known. Second, him as an incumbent he already has an advantage and it is very hard to beat an incumbent US president...and third, the election is still a year and some months out and that is more than a lifetime in American politics.
tusiwasemee wamarecan-ngoja ifike then tutaona itakavyokuwa-politics huwa haztabiriki-inawezekana hayo ni maneno ya mtaan-ana wakati mgumu....mbona muda mrefu tu washatabiri wamarekani wenyewe kuwa he will be a one term president.....mi hata wakimu impeach sasa sioni tatizo :smash:
Kama atagombea V/S Serah Palin what do you expect?
So far hakuna mtu yoyote toka GOP ambaye anaweza kumbeat Jaluo boy!!
zenji si kuna mafuta ... mbona hwavamii...?
tusiwasemee wamarecan-ngoja ifike then tutaona itakavyokuwa-politics huwa haztabiriki-inawezekana hayo ni maneno ya mtaan-
Na kwa akili yako unafikiri watamweka Sarah Palin??? Vuvuzela na wewe,yule ni geresha tu la kisiasa hata u vice president hawampi tena!
.....wapo,sema huwajui.....hata Mitt Romney akijenga hoja na mazingira sahihi anamweka Obama kubaya.....:washing:
The GOP nominee will most likely be a governor and governors have a pretty darn good record when they run for US president.
So don't sleep on former Minnesota governor Tim Pawlenty who just yesterday announced the formation of a presidential exploratory committee.
Then you got current Indiana governor, Mitch Daniels, another potentially formidable candidate who is rumored to be contemplating to run.
But I won't be surprised if some dark horse emerges out of nowhere to become the frontrunner. But as it stands right now there is no clear frontrunner so it's a wide open field.