unanichefua na the same statement everywhere.....we kwa akili yako katika kila kitu its all about Gadaffi,wanaokufa kule Libya ni wangapi?umeona nchi ilivyokuwa imejengwa vizuri,miundombinu yao,social services zao zilivyoharibika? watakaoumia ni wananchi wa Libya si Gadaffi na familia yake kama unavyowaza......Gadaffi akifa/akiondolewa na familia yake bado haitajenga Libya iliyojengwa na Gadaffi kwa miaka 40.....stop bn subjective and change the song.....its boring!:smash:
thanx very much michelle.... kuna watu wanawaza juu juu hivi wanafikiri ghadafi akiondolewa na wamarekani ndio maisha yatakuwa mazuri libya? mnafikiri marekani anapeleka demokrasia libya eti? nchi ya libya haita tawalika tena hasa kama marekani na washirika wake watamtoa ghadafi madarakani na watakao umia zaidi ni raia wa libya na sio marekani wala ghadafi. kama marekani wameenda kuwalinda raia wa libya dhidi ya ghadafi unajua ni raia wasio na hatia wangapi wamekufa mpaka sasa kutokana na mashambulizi ya wamarekani? tuache ushabiki wa kinafiki. me mwenyewe ningependa ghadafi atoke madarakani lakini si kwa njia inayotumiwa na hawa wamarekani (wezi wa mafuta) . wake up africans tumechoka na propaganda az wazungu na uongo wanaoueneza.
anababaika sana Obama,kuna kiongozi kutoka Republican amesema kwa analofanya wanaweza kumu-impeach,mwingine toka democrat anasema watamnyima Obama na seriakali yake hela za ku-fund operation ya Libya.....ana hali mbaya kisiasa,alifikiri hili litamuinua ila ndo limeharibu reputation yake kabisa......kila siku ana jipya,leo we are in Libya for humanitarian issues...protect cilivilians,kesho Gadafi is a dictator we want democracy,kesho yake its US policy......leo katika CNN hiyo hiyo kuna kiongozi kasema Obama kampa Sarkozy the presidency of the free world ambayo waga ni nafasi ya marekani na hili ni tusi kwa wamarekani......he is in bad shape politically :drum:
Point of correction, aliyesema Obama kuamuru majeshi ya Marekani kuanza mashambulizi dhidi ya Ghadafi bila idhini ya Congress kuwa ni impeachable offense ni Dennis Kucinich, a Democrat from Ohio...not a Republican!!!
Mimi najiuliza which US Policy is that which states that Gaddafi has to go? Or because Utajiri wa Mafuta wa Libya ndio policy yao
Yani dogo huyo Obama anaimba na hio ndo inapotezea heshima sasa duniani. Matatizo hajui history z anchi za kiarabu, angejua asinge ingia.
I belive Ghadafi will win, american will most probably fail again.
Over the longer term kama unatumia akili vizuri, Ghadaffi atashinda mana dalili inaonyesha vile, na ikianza vita vya ndan tu, kumbukeni Gadhafi's superior weapons and better trained troops.
Mana hao hawawezi vita vya mda mrefu na Ghadaffi si mjinga kiasi vile atao silaha zote zote katika open area.
Yani huyo dogo obama asahau kupita mwaka 2012!
Mimi najiuliza which US Policy is that which states that Gaddafi has to go? Or because Utajiri wa Mafuta wa Libya ndio policy yao
Mkuu najaribu kujiuliza kama Obama is playing his cards right when we are going towards the election next yearMafuta ndio interest kubwa ya wamarekani na policy yao inasema mahali popote marekani atakapokuwa na interest pataingiliwa kwa njia yoyote kidiplomacia na kama diplomacia itashindwa wataingia kwa nguvu.
Hiyo ndio USA policy mkuu!
Uchaguzi 2012 kazi ipo and i guess Obama anaweza kuwa na wakati mgumumy brother,hilo liko wazi kabisa.....Americans interests comes first and by any means possible :smash::washing:
Mkuu najaribu kujiuliza kama Obama is playing his cards right when we are going towards the election next year